Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

😁😁😁😁
 
👍👍👍👍
 

Safi sana angalau MATAGA mmeanza kuwana akili ya namna ya kuwasilisha hoja zenu
 
Umekosea kitu kimoja huku muuliza uyo msafusha viatu ni kweli hiyo ni kazi yake au na yeye ni mtu wa sisitimu kusafisha viatu ni geresha tu
 
nafahamu sana toka awamu ya kwanza ya baba wa taifa, wamu ya pili Mzee Mwinyi, awamu ya tatu marehemu Ben Mkapa, awamu ya nne JK na awamu ya tano JPM au sio?

Awamu ya sita ni 2025-2035

Ni kosa la kiuandishi tu nimerekebisha.
Unayajua makosa ya kiuandishi, na jinsi yalivyogawanyika ? Endelea kupata somo kwa msafisha viatu
 
Kimchezomchezo JPM anamaliza awamu ya kwanza bila kuwasujudia mabeberu

Hichi kweli chuma #HAPANGIWI
Kwa taarifa yako hao mabeberu ndiyo wanaowalipa mishahara watumishi wenu wa umma. Ni Kenya pekee mnayoisema kila kukicha kuwa ni ya mabeberu kwa A. Mashariki hii ndiyo inayolipa watumishi wake kwa hela zao wenyewe.
 
Mleta mada na msafisha viatu vyako wote mnakanyagwa kama soli za viatu.
Unatuletea utopolo humu..??
 

Mtu anaesafisha viatu vinavyoingia chooni anapata wapi akili
 
Gazeti reefu ujila mdogo msalimie Bashir hapo Lumumba mwambie tetemeko bado umesikia wewe dunya.
 
Ba! kudubwii!
 
Wanyonge wapo upande wa Lissu sasa huyo jiwe sijui atachaguliwa na nani.
Huyo jamaa mleta mada kaeleza ukweli kabisa,kitakochomkuta Lissu hamtaamini,Atashindwa na Ngosha vibaya tuu.Kule Zanzibar kama kawaida Hussein Mwinyi anachukua nchi
 
Nilimisi sana kusoma pumbafu kama huu.haya ni mawazo yako na ww sio mzanzibali wala mwa ACT wewe ndo uko system hongera bosi wangu
 
Umejitekenya halafu ukacheka mwenyewe. WaTanzania wa sasa sio kama wale wa enzi za mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…