Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

Wanyonge wapo upande wa Lissu sasa huyo jiwe sijui atachaguliwa na nani.
Uje ufute haya maneno Oct 28. Lissu yuko na matajiri kina Amsterdam na wabeberu hao wanyonge wamekuwa kushangaa tu kama walivyofanya kwa lowasa 2015.
 
Uje ufute haya maneno Oct 28. Lissu yuko na matajiri kina Amsterdam na wabeberu hao wanyonge wamekuwa kushangaa tu kama walivyofanya kwa lowasa 2015.

..Lowassa angekuwa anajituma kama Tundu Lissu sasa angekuwa anapigania second term.
 
Kimchezomchezo JPM anamaliza awamu ya kwanza bila kuwasujudia mabeberu

Hichi kweli chuma #HAPANGIWI
Ulitaka uone anapiga magoti hadharani kama kule Njombe ndio ujue anawasujudia? Kwa taarifa yako Kuwait's Barrick "wanaume wa shoka" tayari no kuwasujudia huko.
Kukubali kuvunja agano lake LA kibabe kwamba "utawala wangu mwanafunzi mwenye mimba hatasoma tena" na kukubali mkwala was WB ili kupata mkopo in kuishiwa pumzi huko.
Mzee ni mwepesi sana! Zilongwa mbali zitendwa mbali
 
Hakuna fundi viatu hapo, hii hekaya umeifunga wewe
 
Pumba
 
Ungejua kisa cha kuwekwa mtaalamu wa hesabu NEC usingesubiri kujulishwa kwa manufaa ya nani.
MWENYE DOLA HASHINDWI.
 
Ungejua kisa cha kuwekwa mtaalamu wa hesabu NEC usingesubiri kujulishwa kwa manufaa ya nani.
MWENYE DOLA HASHINDWI.
Bashir, Gadaffi, Mugabe,yahaya Jameih, Saddam Hawa je walimiliki euro au paund.
Anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.
 
Haya ni mawazo ya kada wa lumumba, wananchi ndo wenye maamuzi na sio kitengo
 
ulikuwa na zuzu aliechangamka
 
Haaaa mbona hanna kitu hapo hiyo ni kada wa ccm ni mjasiriamali kwenye kkitambulishoncha mjasiriamili
 
Bashir, Gadaffi, Mugabe,yahaya Jameih, Saddam Hawa je walimiliki euro au paund.
Anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.
Si mpaka, bongo hatujitambui tupotupo tu duniani, huko unaowataja huwa hawabaguani kidini wa kivyama, hulianzisha kwa pamoja na kusongambele, sisi tumejaa unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…