Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

Si mpaka, bongo hatujitambui tupotupo tu duniani, huko unaowataja huwa hawabaguani kidini wa kivyama, hulianzisha kwa pamoja na kusongambele, sisi tumejaa unafiki.
But tumeunganishwa pamoja kupitia njaa
 
But tumeunganishwa pamoja kupitia njaa
Duuu! Njaa zetu ndizo zimetutenganisha zaidi na kutufanya tuwe wanafiki, watanzania ndiyo tunaongoza Afrika kwa kuwa taifa la watu wasio na furaha, mpaka miaka ya ssbini tulikuwa ni moja ya mataifa yaliyo na watu wenye furaha.
 
Haya yote kweli yamesemwa na huyo msafisha viatu wako? Sidhani.
 
Asie na mwana aeleke jiwe.

Tukutane tarehe 28/10/2020
 
Tangua mtoto viji hadithi vya oo nchi hii sijui usalama wa Taifa ndio wanaamua kila kitu nk vimekua vikitawala.

Na mara zote ni katika kutisha, kufifisha fikra na kuunguisha watu.

Si katai lazima kuwe kuna mfumo thabiti wa kuhakikisha kunakuwa na amani na usalama wa nchi wakati wote.

Hata hivyo uwe ni ule mfumo wa haki kwa walio wengi. Sio haki tu kwa kundi fulani.

Raia wengi wameingia katika mtego wa kuamini nchi hii ilishatengenezewa muundo na Mungu muumba kwa kuaminishwa kupitia hadithi na nyimbo za namna hiyo ya oohh usalama huu usalama ule ndio baba ndio mama. Mawazo yanayo zunguka ndani ya chupa miaka na miaka.
 
Usalama wa taifa ndo idara muhimu kuliko idara zote zinazoiwezesha nchi kuwa na amani na utulivu.

Siasa na mambo mengine hufuata na idara huwa yahakikisha vyaenda sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…