Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

Hakuna linaloshindikana kwake yeye atutiaye nguvu amini ivo mkuu.
 
Unajua mungu alichokifanya kwa binadamu ni kumnyima uwezo na upeo wa kuona mambo ya mbele au yanayokuja hujui anakuepesha na nini mimi naamini mungu kila kitu kinakuja kwa wakati wake.
Hakika
 
Hakuna linaloshindikana kwake yeye atutiaye nguvu amini ivo mkuu.
Kama umeandika hivi sasa haya malalamiko umeyaleta huku ya kazi gani...???
By the way swali lako la mada ulipaswa ukamuulize ili akujibu huku umekuja kitujazia server tu!.
 
Ni Mungu wa upendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
still i'm not about that but huenda neno hili likawa limeficha ukwel halisi nitolee mfano angalia hali ya bara letu la africa majority of the people tuko ktk nyakat ngumu za kupambana na maisha tofaut na kwa wenzet mabara yaliyoendelea huko ulaya miji imekuwa mikubwa mi najiuliza wametumia uchawi gani mpk kufikia hapo walipo.
 
Kama umeandika hivi sasa haya malalamiko umeyaleta huku ya kazi gani...???
By the way swali lako la mada ulipaswa ukamuulize ili akujibu huku umekuja kitujazia server tu!.
Hujatumia hekma mkuu
 
Hivi unahabari we pamoja na kujiona kuwa unahekima ila humjui Mungu wako ndio maana still bado unakuja kuuliza ni Mungu wa aina gani..?😂

Mkuu baki na hekima zako.
Hahah mkuu inaonekan huk jf watu mmejichokea yaan hat awepo MUNGU wala asiwepo ilimradi life liende kibishi.
 
Pole sana, kuna mtu unaweza muona ukasema huyu anamaisha mazuri sana kumbe alicho nacho moyoni ni siri yake, Mungu akutetee katika maisha kuna vitu vya siri sana, usichoke kumuomba Mungu siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu inaonekan huk jf watu mmejichokea yaan hat awepo MUNGU wala asiwepo ilimradi life liende kibishi.
Hapana mi sizungumzii kuhusu uwepo au kutokuwepo isipokuwa nahofu sana kuhusu uelewa wa watu kuhusu nadharia ya Umungu/Mungu!.. namaanisha pia watu wamekuwa brain washed!..😀
 
Funguka zaidi, Unateseka vipi?
Napitia magumu na naona kabsa yanazid kuongezeka ktk shughul zangu za kila cku maumivu niliyonayo wala nisingetaman kuish kwa adha ninayoipata kwa ufupi kipato changu ni kigumu pamj na kuwekeza nguvu yangu kubwa but sioni matokeo ya juhudi zangu that's all.
 
Mungu Hayupo kama ulivyoambiwa kwenye Vitabu vyako vya Dini Yeyote ile Muislam au Biblia

1. Mungu Hataki zawadi wa Sadaka wala Zaka Zako ili akubariki

2. Mungu Amekuumba Na Akili kwahiyo humuitaji tena Ili kukusaidia. Eti namuomba Mungu nifanikiwe. Ameshakupa Akili Itumie. Yeye hahusiki tena

3. Mungu kakuweka Hapa Duniani upambane ili ufanikiwe

Hao Walioandikwa Kwenye Vitabu wote wana tabia za Kibinadamu. Tabia za Kuomba Vitu na Tamaa. Na Ukiwanyima wanakasirika,wananuna,wanakupa Laana n.k n.k. hizo si Tabia za Mungu hizo ni Tabia za Binadamu. Mungu hanuni..hakulaani..wala kukupa Mabalaa yeyote hapa Duniani

Binadamu tumeumbwa Kusaidiana kwahiyo Kama unataka Riziki utazipata Kwa Binadamu mwenzako. Maana Ukifanikiwa Utampa Binadamu mwenzako hutompa Mungu.

Mfano. Ukiniomba Mimi Mtaji wa biashara Nitakupa ila Toka nenda Mlimani Kasali uone kama Mungu atakupatia mtaji huo. Hutoupata. Kwahiyo Mungu ametuumba Tusaidiane sisi kwa sisi si Kumsumbua Yeye tena

Tafuta Pesa kwa Akili Mungu hausiki kwenye Mafanikio yako. Ndio maana Washenzi wanapesa na Wanaomtii Mungu pia Wana Pesa
 
Hapana mi sizungumzii kuhusu uwepo au kutokuwepo isipokuwa nahofu sana kuhusu uelewa wa watu kuhusu nadharia ya Umungu/Mungu!.. namaanisha pia watu wamekuwa brain washed!..😀
but nasikitika imefikia hatua hekalu la mungu limegeuzwa kuwa sehemu ya biashara ckuiz nakosa imani kabsa na ndo maan nimekuja na hii thread ni wap nikimbilie pengine unaweza na ushaur mzur nikapata option nyingine ya kunisaidia tofaut na kumlilia mungu.
 
daah! Kwa maelezo yako upo sahihi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…