Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Ni kujishushia heshima, na vile siku hizi hana nyama basi kila utitili utakwenda kupumzika kwake.
Kisima cha kiswahili kitarafa hiki, ama tuseme ni chemchem!

Kila siku mnazalisha vimsemo!

Hawara wa mwenzako unamuita "utitiri"!

Komea kulitumia neno hilo kwenye comment hii, ukilirudia rudia litazagaa na utakuwa ni msemo kama ule wa dume zima kuitwa: "chawa", halafu jenyewe unakuta lipo mkukenua meno kwa furaha likihisi ni sifa!
 
Tumeshawajua hao umughaka ametupa siri zao wanapopatia hela.
 
Mimi sipendagi kabisa wadada wakubwa vile kudate na wadogo zao, hivi mtu kama wema alikosa hata kuchukuwa hata waziri mmoja akakomaa nae? Status yote alokuwa nayo? Siwezi date utitili mimi.
 
kweli aise
 
Achana na huyo jamaa,mimi sina ufahamu wowote wa biashara yoyote ile,lakini kwa kutumia tu akili ya kawaida huwa nikipita show rooms zote ninazozifahamu ni wazi kwamba ile sio biashara rahisi

Gari zinakaa muda mrefu mno,tena kwenye show room za nje gari mpaka rangi inapauka,alafu huyu dogo analeta assumptions zake uuze gari zote😂
 
"Nikaambiwa nimuone meneja ,Nikapatwa na uoga"

Uoga WA nini kama ni Mlipa Kodi halali??
 
Naona statement hujaisoma vizuri... umeona transaction ya 70K kwenda Mpesa, unataka kusema ametuma Usd 70,000 kwenda Mpesa Kenya?
Wengi wamekamatwa na utapeli wa huyu jamaa...

Hii account ni either ya TZS au KES.

Kuna sehemu ametuma 20K kwa MPESA Kenya.

MPESA Kenya limit ya Transactions kwa siku ni KES 300K sawa TZS 7M.

Kama 20K USD means alituma 2.4M KES hii ni zaidi mara 6 ya daily limit.

Kingine Bank Statement haiwezi kuweka kwenye multiple currencies.

Makonda na TRA wanahusiana nini, na why ana expose Financial statement ya kampuni yake, ili apate huruma gani.

Je Hizo biashara zake alizotaja zinasimamiwa na hiyo entertainment company?
 
Like Magufuli, like Suluhu! Mambo Yale Yale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…