Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kisima cha kiswahili kitarafa hiki, ama tuseme ni chemchem!Ni kujishushia heshima, na vile siku hizi hana nyama basi kila utitili utakwenda kupumzika kwake.
Kila siku mnazalisha vimsemo!
Hawara wa mwenzako unamuita "utitiri"!
Komea kulitumia neno hilo kwenye comment hii, ukilirudia rudia litazagaa na utakuwa ni msemo kama ule wa dume zima kuitwa: "chawa", halafu jenyewe unakuta lipo mkukenua meno kwa furaha likihisi ni sifa!