Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Hii ndio changamoto ya kuwa na pesa halafu kichwani hakuna shule alishindwa hata kutafuta washauri?
Usd 18mil unaiweka bank kirahisi hivyo?
Kwani alishindwa kuitakatisha kupitia kuwekeza katika real estate na madini?
Yard 2 na vituo 2 vya watoto yatima ndio apate mipesa mengi hivyo?
Kifupi huyo jamaa hatoboi labda agawane pasu kwa pasu na wakubwa.
Alivyokuwa mpuuzi amemuingiza na makonda,makonda mwenyewe hana power yoyote TRA
 
Weka ushahidi kama huna KAA KIMYA
 
PCK ni mpenda kiki dunia nzima hakuna acha liendelee kuwaumiza vichwa
 
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
Na asilimia 70 ya misikit imejengwa kwa hela ya unga ngada.
 
Ni ngumu sana nchi za kiafrika hususani Tanzania mtu kua na biashara na kumiliki B57 kwenye account, nasema ni ngumu na kama ni kweli basi hazijazuiwa kwa makosa, ana jambo mtambuka sana
 
Mods futeni huu uzi, wahusika wamekana
 

Attachments

  • Screenshot_20230101-110933_Instagram.jpg
    92.4 KB · Views: 10
Kashapotea instagram

Mkuu umeongea ukweli

great thinker
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…