Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kwani assets muda wowote haziwezi kupotea ?Milionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .