Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Milionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .
Milionea Ni mtu mwenye milion haijalishi Ni ya wapi hata zimbambwe au Uganda isipokuwa tunachukua au kutumia USD sababu ndo pesa inatumika kila sehemu , japo haina thamani kubwa Kama pound

Hicho kigezo Cha kuwa na assets au cash sidhani Kama kinafanya kazi

Inamaana nikiwa Sina hata kiwanda au chchte ila nimepata hio 1m usd na ipo bank siwezi itwa milionea?

Je nikiwa na assets hizo za 1m USD na hazijaongezeka but cash Nina 2m usd siwezi itwa milionea?
 
Statement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.

  • Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
  • Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
  • Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.

Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.

KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
Huyo jamaa ni muongo
 
Jamaa ana bil 57 bank ila Kuna wale washamba million 100 tu utasikia kwetu matajiri..mara walishe mbwa burger mara hivi ushamba mzigo .

Watu wa Pwani haswa zanzibar Wana madili ya hatar wanapiga pesa ila hata kujionyesha ni ngumu sana ...wengi ni dili haramu kama kawaida wanauza mpaka unga ila ngumu sana kuwajua kama wana pesa.
Ni kweli kwa Zanzibar tuliwahi kuwa na project huko na mtu maarufu kutoka Marekani alikuwa anataka atembelee gari la maana, jamani tulipelekwa nyumba ya kijana mwenye miaka 28 ana magari kila mtu alibaki mdomo wazi. Kavaa zake kanzu na sandose zao zile. Kwa Zanzibar naamini kabisa.
 
Akili ndogo sana wewe. Unajua bank zinavyofanya kazi? Hawakuzuii kuwa na account sehem nyingine ila kuna baadhi ya facilities huwezi pewa na bank fulani mpaka all daily operations transactions uwe unafanya nao. Kwa maana nyingine utalazimika kuachana na account zingine bila kupenda sababu zitakua zinakuongezea gharama na baadhi ya bank watataka ufunge accounts kabisa sehemu zingine. Kuna facilities kama Letters of credit, Bills Discounting, post import loans,post purchase loans etc ambazo ni short term loan facilities kuanzia 45 days hadi 90 days ila billions bank inapata..so kwa hizo facilities bank zinakuaga na hayo masharti. Hizo sio kwa individuals au kiazi kama wewe hizo ni facilities kwa giants kama tanga cement, Bakhresa etc wanaofanya daily mass production na kila siku billions zinapita na wanafanya sana importation na exportation. Nimeandika kiufupi sana japo najua fools like you sometimes never learn. Uliza kama kuna bank teller yeyote hata anaelewa hayo niliyoyaandika. Na hizo facilities ni giant banks tu ndo zinatoa so hata kama mjomba wako kama ni meneja wa bank ukimuuliza hizo mambo atatoka kapa na sio dhambi sababu hawana export/import facilities na local banks chache sana mbili au tatu kama EXIM,CRDB na NBC ndio zinaweza kuwa zinatoa hizo facilities. Na hizo ndio zinazopatia bank faida kubwa sio hiyo miamala yako ya ATM au monthly charges. Hujiulizi why Citi Bank inatawi moja lakini miaka kibao imeongoza kwa faida?
Hapa umetoa kitu mkuu. Asante nadhani wamekuelewa sasa....
 
Huyu si ndo fyucha husband wa wema? Ila mastaa bana, wema unadate na mtu mwenye pesa kama huyu hata kama hatujui chanzo cha hizo pesa, basi mkiachana unajishusha thamani una date kale katoto sijui whozu sijui utitili gani si ubaki single tu ijulikane?
Anajishushua heshima??.. kwani Wema ana heshima gani?
 
Milionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .
Cash Ni Current Asset,hio Ni bookkeeping ya wapi inayosema cash Ni liability?
 
Statement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.

  • Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
  • Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
  • Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.

Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.

KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
IMG-20221231-WA0001.jpg

Jamaa kafoji statement
 
Nina B za kutosha halafu hela niweke Acc za Bank za EAST AFRICA ntakua naumwa mafua labda...

si mara 100 nichimbe safe nyumbani kwangu nizidumbukize humo kama Mjomba wa MEXICO.
Labda zote ziwe dollar..hela za madafu Serikali ikibadilisha noti ghafla utalia kilio cha mbwa koko.
 
Back
Top Bottom