Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Unamaanisha na wewe upo unaulizia wenzakoWatanzania wanaomiliki $1M or 2.5Bn tzs money tunaweza fika wangapi labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha na wewe upo unaulizia wenzakoWatanzania wanaomiliki $1M or 2.5Bn tzs money tunaweza fika wangapi labda
Milionea Ni mtu mwenye milion haijalishi Ni ya wapi hata zimbambwe au Uganda isipokuwa tunachukua au kutumia USD sababu ndo pesa inatumika kila sehemu , japo haina thamani kubwa Kama poundMilionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .
Huyo jamaa ni muongoStatement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.
- Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
- Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
- Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.
Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.
KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
Wewe akili imegota hapo tu. Nimekosea uandishi. Your brain is being gravitate towards where it's attracted easilyUnamaanisha na wewe upo unaulizia wenzako
Ni kweli kwa Zanzibar tuliwahi kuwa na project huko na mtu maarufu kutoka Marekani alikuwa anataka atembelee gari la maana, jamani tulipelekwa nyumba ya kijana mwenye miaka 28 ana magari kila mtu alibaki mdomo wazi. Kavaa zake kanzu na sandose zao zile. Kwa Zanzibar naamini kabisa.Jamaa ana bil 57 bank ila Kuna wale washamba million 100 tu utasikia kwetu matajiri..mara walishe mbwa burger mara hivi ushamba mzigo .
Watu wa Pwani haswa zanzibar Wana madili ya hatar wanapiga pesa ila hata kujionyesha ni ngumu sana ...wengi ni dili haramu kama kawaida wanauza mpaka unga ila ngumu sana kuwajua kama wana pesa.
Hapa umetoa kitu mkuu. Asante nadhani wamekuelewa sasa....Akili ndogo sana wewe. Unajua bank zinavyofanya kazi? Hawakuzuii kuwa na account sehem nyingine ila kuna baadhi ya facilities huwezi pewa na bank fulani mpaka all daily operations transactions uwe unafanya nao. Kwa maana nyingine utalazimika kuachana na account zingine bila kupenda sababu zitakua zinakuongezea gharama na baadhi ya bank watataka ufunge accounts kabisa sehemu zingine. Kuna facilities kama Letters of credit, Bills Discounting, post import loans,post purchase loans etc ambazo ni short term loan facilities kuanzia 45 days hadi 90 days ila billions bank inapata..so kwa hizo facilities bank zinakuaga na hayo masharti. Hizo sio kwa individuals au kiazi kama wewe hizo ni facilities kwa giants kama tanga cement, Bakhresa etc wanaofanya daily mass production na kila siku billions zinapita na wanafanya sana importation na exportation. Nimeandika kiufupi sana japo najua fools like you sometimes never learn. Uliza kama kuna bank teller yeyote hata anaelewa hayo niliyoyaandika. Na hizo facilities ni giant banks tu ndo zinatoa so hata kama mjomba wako kama ni meneja wa bank ukimuuliza hizo mambo atatoka kapa na sio dhambi sababu hawana export/import facilities na local banks chache sana mbili au tatu kama EXIM,CRDB na NBC ndio zinaweza kuwa zinatoa hizo facilities. Na hizo ndio zinazopatia bank faida kubwa sio hiyo miamala yako ya ATM au monthly charges. Hujiulizi why Citi Bank inatawi moja lakini miaka kibao imeongoza kwa faida?
Nakutakia kila heri hasa project X ikamilike mwakani witnessj Mungu ni mwema sana kwetu. Amen[emoji38][emoji38][emoji16]
Acha makasiriko.. we undhan bakheresa ana sh ngpiInategemea na unapambana vipi mzee kufikisha B57 usichukulie kitoto kwa hii life ya kibongo aisee
Anajishushua heshima??.. kwani Wema ana heshima gani?Huyu si ndo fyucha husband wa wema? Ila mastaa bana, wema unadate na mtu mwenye pesa kama huyu hata kama hatujui chanzo cha hizo pesa, basi mkiachana unajishusha thamani una date kale katoto sijui whozu sijui utitili gani si ubaki single tu ijulikane?
Cash Ni Current Asset,hio Ni bookkeeping ya wapi inayosema cash Ni liability?Milionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .
Statement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.
- Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
- Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
- Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.
Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.
KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
Kuna watu walikuwa wanauliza mbona kumhusisha Mama Samia.View attachment 2464705
Jamaa kafoji statement
Jamaa anajua kunyonya lips aisee walinyonyana kiutamu utamu sanaaisee, kafaidi sana lips za wema, kale kavideo nnako kwa archives, em subiri kwanza
Ripoti ilitoka wako kati ya 2000-5500Watanzania wanaomiliki $1M or 2.5Bn tzs money tunaweza fika wangapi labda
Mbona inaonekana mapema tu ni feki, alignment hazijakaa sawa.Bank ya kcb Tanzania, Wana sema taarifa hizo za bank statement ni fake.
pigia sana nyeto zile boobs za wema zilizokua 'partially exposed' kichokozi, wakubwa wanafaidi sana wallahiJamaa anajua kunyonya lips aisee walinyonyana kiutamu utamu sana
Mwanaume kwaajili ya kugusanishaMimi tangu nikiwa mdogo sinaga hulka na wanaume.
Na ukiona mwanamke anateswa na mwanaume jua ni mvivu, mwanamke akiwa na vijipesa vidogo vidogo kama vi laki havikosi ndani kodi amelipa gesi kanunua, vinatumizi kanunua mwanaume wa kazi gani?
Labda zote ziwe dollar..hela za madafu Serikali ikibadilisha noti ghafla utalia kilio cha mbwa koko.Nina B za kutosha halafu hela niweke Acc za Bank za EAST AFRICA ntakua naumwa mafua labda...
si mara 100 nichimbe safe nyumbani kwangu nizidumbukize humo kama Mjomba wa MEXICO.