Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Lorry 2000 si mchezo we jamaa , na sidhani kama Tz kuna mtu au kampuni yenye freight lorries 2000 , hata yule Mhindi anayeitwa Bhanji ambaye ni contractor WA usafirishaji wa bidhaa za viwandani, kwenye migodi nk hana malori 2000 na ana malori mengi kama utitiri nchi hii ,hizo lorry 2000 Hana ,sembuse hao wengine ?
Usangu logistics wanaweza kuwa nazo hizi.
 
Mo mwenyewe 20b pale Simba haieleweki ilipo alafu mtu anakuja kusema 50b ni pesa ndogo. Ingekuwa ni ndogo 20b Mo angeitoa bila hata kupepesa macho..

Watu waache utani aisee.. Hustle unazofanya mtu mpaka account yako iguse angalau 9 figures lazima jasho likuvuje sana..
Wanatuona wajinga flani sana humu kwmba 50B ni ndogo.
 
Hapana,wenye yard wanatumika tu kama kupokea hela na kuziingiza kwenye mzunguko wao wa biashara
We hujiulizi,wamiliki wengi wa yard
Ni mapaka(wapakistan)
Mkuu ngj thingies 2023 tutakuja na uzi murwaaa kufunuana khs a,b,c

Ova
Ulivyosema wenye yard wengi ni pashtu(wapakistani) basi nikashtuka na kuangalia yard ya jirani yangu hapa.
Coke coke coke
 
Usijibu kienyeji kijana.

KCB Bank ni ya Kenya ila hilo ni tawi la Tanzania.

Charges ni kufuata regulations za Tz na sio za Kikenya. Hutakaa uone StanChart wana charges based on UK regulations au Stanbic wana charges based on South African regulations.

Bank yeyote inayofanya kazi Tz wanafuata sheria za kibenki za Tz kwa muongozo wa BOT na sio wa Kenya.
 
Kwani Rais ataingilia?

And what was point ya kupost Instagram, ili watu waone TRA wanaibia watu?

Plus anasema ni vita ya Makonda. Why sasa?
Hapo kwa Makonda amekumbushia tu..

Diamond nae alipiga kelele juzi tu hapa huko huko Insta ndio maana akaitwa na TRA wakae wazungumze, kila mtu ana njia yake ya kufikisha ujumbe au dukuduku lake.

Kama hiyo statement ingekuwa ya uongo hasingeweza thubutu kushutumu Taasis kwa vitu vya uongo..
 
Back
Top Bottom