Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Mimi tangu nikiwa mdogo sinaga hulka na wanaume.
Na ukiona mwanamke anateswa na mwanaume jua ni mvivu, mwanamke akiwa na vijipesa vidogo vidogo kama vi laki havikosi ndani kodi amelipa gesi kanunua, vinatumizi kanunua mwanaume wa kazi gani?
Ongeza sauti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.

Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.

Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.

Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?

Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386

Kuwa na hela nyingi sio dhambi. Ni ww u aona jambo geni. Is how amezipata? Now until atokee mtu achimbe kujua ukweli the rest mtabaki na speculation tu
 
Ronaldo CR7 kasaini mkataba wa kulipwa bil 41 kwa mwezi, mtu kapambana maisha yake yote kajikusanyia bilion zake 57 unablock account duh bongo tutabaki na umasikini wetu milele, roho za kwanini huyu kapataje tumeziendekeza sana. NI WIVU TYUUUUU[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
1672471935069.png
 
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.

Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Ili uwe bilionea inatakiwa uwe na 1m usd
 
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.

Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.

Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.

Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?

Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386
kwa mujibu wa maelezo yake kwa uzoefu wangu wa kiintelijensia huyo jamaa atakuwa anadeal na utakatishaji fedha mkubwa sana.. hizo project mbili za watoto yatima na wajane ndio zimemchoma.. na ndio anazitumia kukwepa kodi, kutakatisha fedha na kucheza michezo yote haramu.. Mungu amsaidie tu ila dah sio poa..
 
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.

Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Mo mwenyewe 20b pale Simba haieleweki ilipo alafu mtu anakuja kusema 50b ni pesa ndogo. Ingekuwa ni ndogo 20b Mo angeitoa bila hata kupepesa macho..

Watu waache utani aisee.. Hustle unazofanya mtu mpaka account yako iguse angalau 9 figures lazima jasho likuvuje sana..
 
Back
Top Bottom