Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Umeandika ana biashara na maduka ya simu na Kuna mwengine anadai ni kuuza majini. Halafu unakuja na ni mtu wa kawaida. Yaani ni udaku tuu.
Na je hiyo tarakimu ya benki kweli ni Bil. Au mil.?
Acha Uchawa kufuatilia ya watu.
MO ambazo ngapi? Je Bakheresa?!?
 
Mbona pesa ndogo tu hio hata wewe ukiamua unazipata hasa ukiwa kwenye sekta ya madini. KILA wilaya nchini imejaa madini ni wewe tu
Wewe unangoja nini kuamua au unataka huo masikini ulionao?
 
Wewe uliwajuaje?sema wazanzibari ni wafanya biashara wengi wao hawana ushamba na hela unaweza muona mpemba kavaa kanda2 lakini anamlilia kosita 20 na ghorofa 5 tandika
 
Wewe uliwajuaje?sema wazanzibari ni wafanya biashara wengi wao hawana ushamba na hela unaweza muona mpemba kavaa kanda2 lakini anamlilia kosita 20 na ghorofa 5 tandika
Watu wa Pwani kawaida hawanaga ushamba
 
Kwanini mtu akiwa na hela nyingi watu hawamuhisi kuwa ni msomi,daktari ,muhandisi au ana Phd!! Moja kwa moja utasikia ni tapeli ,muuza madawa ya kulevya, halipi kodi, jambazi n.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…