kwani kondomu hakuziona , angemwagia nje yasingemkuta yote haya
Sema nifanye nini sio jamaa afanye nini.Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Bluetooth siku zote inakamata nearest device, mwanamke hawezi kuliwa na stranger.Siku zote, epuka ukaribu wa namna yoyote ile na watu washenzi. Ukiona rafiki wa mkeo/mmeo au mtu anaye mjua mwenza wako na yuko tayari kufanya mapenzi na wewe ujue huyo ni mshenzi. Hapa wamekutana washenzi wawili.
Kwa hiyo dawa ya ushenzi ni ushenzi tu.
1. Aache kuwa mtumwa kwa huyo dada. Alee mimba bila kushinikizwa. Alee kadri anavyoweza, kama kitu hawezi kufanya asifanye na awe genuine kabisa.
2. Amwambie huyo akisema au kutoa siri juu ya jambo hilo ndo utakuwa mwisho wao. Hatalea mimba wala mtoto.
3. Ikitokea amesema, jamaa amkane na kumruka. Asipepese macho. Aseme kwa kujiamini yuko tayari kupima DNA na atamshtaki huyo dada kwa kumdhalilisha. Kwa kifupi ni kwamba akinukishe kweli kweli. Then ataomba msamaha kwa mke wake na Yataisha tu.
Mkuu, kwanza akubali kuwa amekosea na aache kuishi kwa kutawaliwa na hofu.Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
kuzaa na mdogo wa mke,,,,,timbwili lake si mchezo.Bora huyo ni rafiki wa mke...watu wamezaa na mdogo wa mke...akaushe tu, ikibumburuka abishe mwanzo mwisho hakuna kukubali hata kidogo.
In fact,Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Umeelewa hata kilichoandikwa kweli?Usaliti wa namna hii hata kama mshkaji wangu nakuchana tu lolote baya likukute. Muulize ye angejisikiaje kama wewe ungempa ujauzito mke wake