Vipi kuhusu rfk yake,
Mtoto akifanana na jamaaUnamwambia tu aache ukaribu naye. Unavyomuona anaweza kuharibu ndoa yenu.
Mkuu kipi kigumu kueleweka hapo? Wakati anapiga kavu hakujua matokeo yake ni nini? Kwanini nikimbilie kumhukumu shemeji wa mshkaji baadala ya mshkaji mwenyewe?Umeelewa hata kilichoandikwa kweli?
Indeed..As you sow so you shall reap.
Ningekuwa naendelea Umalaya ningewala Sana Marafiki wa Mke wanguKiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Huwa tunawambia Mimi na Robert Mtibeli Mwanaume asiyekuwa na Akili anateswa Sana na Wanawake, huyo kshaingizwa kwenye mfumo, hapo ndipo utajua nguvu ya MwanamkeJamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Lucky dude 1996As you sow so you shall reap.
Kama ni wewe pole kama sio wewe achana nao kwani walikushirikisha mwanzoni.Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Mke wa Kweka akipona Mume wake anakuwa malaya na kuzaa nje hovyo, akaona hizi Mali watakuja kuifaidi vikaragosi wengineKiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Mbona kawaida sana! Mimi mmojawapo,nilizaa na rafiki yake wife mwaka 2005! Nilimuambia tu ukijashaua kwa sifa na kwenda kumtambia mwenzio sikupi huduma na hutoniona,kwanza nilienda kumpangia mbali kabisa na ninapoishi......wife alikuja kufahamu mtoto ana mwaka mmoja! akaishia kunikashifu tu kuwa dume zima malaya halina hata Aya, mwishoe vichambo vyake vikaisha na yule akawa mke mwenzie! Mtoto mkubwa kwasasa japo mama yake tulibwaganaKiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Mostly Single Maza wengi hiki ndicho kinawakuta, baada ya kupata Mimba wanavimba wanajiona wao ndio wababe, baadhi ya Wanaume can not tolerate bullshitAmwambie huyo akisema au kutoa siri juu ya jambo hilo ndo utakuwa mwisho wao. Hatalea mimba wala mtoto.
3. Ikitokea amesema, jamaa
Muite tu mwambie afu mwambie iwe wewe na yeye. Muombe msamaha tu yataisha.Atumie kiswahili gani kumjulisha mke?
hivi kweli tunaelewa maana ya URAFIKI kweli?,,, ni zaidi ya ndugu sio? kwanini tunafanya haya wanaume wenzangu? na bado mnakaa nae na story au kama ni mitkasi mnaendelea kama kawa!!! mbaya sana hiyo. Sina cha kushauri ila... ila....kama ikinitokea.......nikadhibitisha hivyo......lazima nikufire......tena kavu......mnisaheme nimetumia maneno makali..... shughuli inashia hapo......nitatubu mwenyewe hii dhambi......Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.