Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

Huna akili BWEGE wewe Baba yako angefanya kama ulivyoshauri ungekuwa hapa leo ku-comment upuuzi🚮 PATHETIC BRAT!
Wewe ni mpumbavu, baba yangu angefanya hivyo kwanza kabisa;
. Baba asingekuwa na hasara yoyote
. Mimi nisingekuwa hapa,
. Nisingejua kwamba nilitakiwa kuwepo hapa
. Nisingepata hasara yoyote kwa kutokuwepo hapa
. Nisingejali chochote kwa sabab sipo hapa
. And last but not least, sikuombwa/sikuomba ushauri kwamba nizaliwe au nisizaliwe ili niwe au nisiwe hapa
Kwa hiyo, we ni fala tu unajipa umuhimu mahali usipohitajika. Hunipangii Cha kuandika little man, just close your eyes and imagine yourself by the sea🖕🚮
 
Punguza kujielezea sana bwana mdogo! Huwezi kutoa ushauri unaoweza kugharimu maisha ya mtu, alafu wakubwa zako tunyamaze! Lazima tukukanye!
 
Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.

Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.

Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.

Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Aendelee kuwala wote tu hamna shida hapo
 
Bora huyo ni rafiki wa mke...watu wamezaa na mdogo wa mke...akaushe tu, ikibumburuka abishe mwanzo mwisho hakuna kukubali hata kidogo.
Umenikumbusha mbali kidogo linikute hiloo asee kuna nawaza ingetokea wangenichukia ukoo mzimaa.
 
Jambo la kwanza ni kuhakikisha anafuta ushahidi wowote iwe wa call, meseji ama picha kama walipiga, then aanze kujitoa mdogo mdogo ikiwezekane amkane kabisa. Wanawake nawajua akili zao ndogo hapo Kuta anachokitambia ni vimeseji au vipicha alivyonavyo kama ushahidi.

Sasa akishahakikisha kavifuta hivyo viushahidi lazima huyo demu atakuwa mpole tu
 
Mnapoambiwa msinyee kambi huwa mnaziba maskio,yaani hata mtaani kwako haitakiwi uwe na mchepuko fanyia upuuzi wako mbali na home
 
Kuna mmoja mi aliniletea swagar hzo hizo an mtu anapata mimba na tayari yupo na bwana wake...
Nikamwambia ww toa hilo tumbo.lako mi napita tuu sio muoaji na kama ukitaka nikuache live live kaa na hiyo mimba.

Sometimes haya mambo yanakera mtu unajua kabisa kwa jinsi tinavyoiishi ufai kunibebea mimba mimi. We unabeba unategemea mwanangu aje kula.mabox au...🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna hawa maostadh kina Vishu Mtata wanaona sifa sana kuwa na vitoto vingi ukiwauliza wanakwambia kila mtoto na ridhki yake 🤣🤣🤣☢️☢️☢️
😂😂😂 dogo mwache atotoe tu, wanawake wanajiweza siku hizi, atalea tu.
 
Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.

Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.

Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.

Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Ampe mkewe mimba.
 
Punguza kujielezea sana bwana mdogo! Huwezi kutoa ushauri unaoweza kugharimu maisha ya mtu, alafu wakubwa zako tunyamaze! Lazima tukukanye!
Kujielezea? Huku hakuna mtu anasikiliza mtu za kuambiwa changanya na zako. Hakuna anaejali, kama wewe unajali jali na hakuna kitu utafanya.
 
Back
Top Bottom