Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

Umeelewa hata kilichoandikwa kweli?
Mkuu kipi kigumu kueleweka hapo? Wakati anapiga kavu hakujua matokeo yake ni nini? Kwanini nikimbilie kumhukumu shemeji wa mshkaji baadala ya mshkaji mwenyewe?

Labda nikuulize wewe, utajisikiaje mshkaji wako akampa ujauzito mke wako? Sioni haja ya kutoa ushauri kwenye hili
 
Kama Mwanaume umecheza huo mchezo cheza nao ni issue ndogo tu hiyo.
Option ziko nyingi sana...kuna miongozo mingi sana ya uchepukaji na matokeo yake.
Shida tunaanza mahusiano tukiwa Wazee
 
Walianzia wap had kutiana mimba mi navowaogopa shemej zangu hata kukutana nao njiani huwa sitaki kabsa
 
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Huwa tunawambia Mimi na Robert Mtibeli Mwanaume asiyekuwa na Akili anateswa Sana na Wanawake, huyo kshaingizwa kwenye mfumo, hapo ndipo utajua nguvu ya Mwanamke
 
Kama ni wewe pole kama sio wewe achana nao kwani walikushirikisha mwanzoni.
Afu unakuwaje na marafiki wa sampuli hii au kama ni wewe umefanya huu ushenzi hii dhambi ikutafune na iskuache shenzi kabisa?
 
Mke wa Kweka akipona Mume wake anakuwa malaya na kuzaa nje hovyo, akaona hizi Mali watakuja kuifaidi vikaragosi wengine

Jenifer hakuwa mjinga kutaka umiliki wa Mali uwekwe Sawa.

Mkuu mambo kama haya yanaharibu Uhusiano na familia ambayo mtu ameijenga kwa miaka mingi
 
Mbona kawaida sana! Mimi mmojawapo,nilizaa na rafiki yake wife mwaka 2005! Nilimuambia tu ukijashaua kwa sifa na kwenda kumtambia mwenzio sikupi huduma na hutoniona,kwanza nilienda kumpangia mbali kabisa na ninapoishi......wife alikuja kufahamu mtoto ana mwaka mmoja! akaishia kunikashifu tu kuwa dume zima malaya halina hata Aya, mwishoe vichambo vyake vikaisha na yule akawa mke mwenzie! Mtoto mkubwa kwasasa japo mama yake tulibwagana
 
Amwambie huyo akisema au kutoa siri juu ya jambo hilo ndo utakuwa mwisho wao. Hatalea mimba wala mtoto.
3. Ikitokea amesema, jamaa
Mostly Single Maza wengi hiki ndicho kinawakuta, baada ya kupata Mimba wanavimba wanajiona wao ndio wababe, baadhi ya Wanaume can not tolerate bullshit

Yalimkuta Hamisa Mobeto kwa Diamond, Mobeto alitaka treatment kama Malikia, Mondi akamtupilia mbali bila kujali chochote
 
hivi kweli tunaelewa maana ya URAFIKI kweli?,,, ni zaidi ya ndugu sio? kwanini tunafanya haya wanaume wenzangu? na bado mnakaa nae na story au kama ni mitkasi mnaendelea kama kawa!!! mbaya sana hiyo. Sina cha kushauri ila... ila....kama ikinitokea.......nikadhibitisha hivyo......lazima nikufire......tena kavu......mnisaheme nimetumia maneno makali..... shughuli inashia hapo......nitatubu mwenyewe hii dhambi......
tuheshimu familia za rafiki zetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…