Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

Kuna mmoja mi aliniletea swagar hzo hizo an mtu anapata mimba na tayari yupo na bwana wake...
Nikamwambia ww toa hilo tumbo.lako mi napita tuu sio muoaji na kama ukitaka nikuache live live kaa na hiyo mimba.

Sometimes haya mambo yanakera mtu unajua kabisa kwa jinsi tinavyoiishi ufai kunibebea mimba mimi. We unabeba unategemea mwanangu aje kula.mabox au...🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna hawa maostadh kina Vishu Mtata wanaona sifa sana kuwa na vitoto vingi ukiwauliza wanakwambia kila mtoto na ridhki yake 🤣🤣🤣☢️☢️☢️
 
Kama unataka kuitoa hiyo mimba nunua vidonge vya kutoa mimba visage, siku Toka nae out mvizie kazubaa mtilie kwenye kinywaji Kisha kausha sikilizia masaa tu kuambiwa tumbo linauma.
Kweli unampa mtu ushauri kama huu huna hofu hata kidogo? Akimpa hizo dawa alafu mwanamke akapata changamoto ya ki afya unadhani nani atakuwa responsible??
 
Ndege wanaofanana ndio huruka pamoja! Kama huyo rafiki yake mkeo ameweza kufanya hivyo kuwa pia makini na mke wako! Sema hii circle mbovu sana sijui kama mnapeana mawazo yoyote ya maana🚮
 
Ndege wanaofanana ndio huruka pamoja! Kama huyo rafiki yake mkeo ameweza kufanya hivyo kuwa pia makini na mke wako! Sema hii circle mbovu sana sijui kama mnapeana mawazo yoyote ya maana🚮
Likely Mke naye anagawa nje
 
Asante mtaalamu kwa uzoefu!
 
Mimba sio jambo la bahati mbaya,kafanya kosa la kwanza basi asilifiche kwa kufanya lingine(kutoa). Azae tu hayo ndo mavuno ya nyege.
 
mkuu umemshaul vyema sana na huo ndo uanaume sasa,yan anitishie et kwakuwa anamimba yangu ndo atake kuniendesha!,na anajua ninamke! alooo
 
Hili tukio hili...

Mamaeeeee!

Omba lisikukute, kila mtu ana mbinu zake...

Hyo ndoa yaweza haribika
 
Imeshatokea na hamna siri duniani, kama vipi aache kuperekeshwa na hiyo manzi.
afu tuone huo ujasiri wa kumwambia rafiki ake kua anaujauzito wa mme wake anautoa wapi..
 
Kweli unampa mtu ushauri kama huu huna hofu hata kidogo? Akimpa hizo dawa alafu mwanamke akapata changamoto ya ki afya unadhani nani atakuwa responsible??
ndio aombe sasa asipate changamoto ila ushauri sibadilishi
 
Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?
Dah,
Huyo rafiki yako ni wewe na kwa kweli umeyakanyaga, pole mkuu.

Ukute mkeo na huyo shoga ake walipanga, washakubaliana kuwa wake wenza, na sasa wanakuchora tu.

Suluhisho:
Wee inabidi uwe mpole, kwa sasa mpangie makazi mbali na hapo kwako, jambo sahihi la kufanya utapata baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…