Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

Huna akili BWEGE wewe Baba yako angefanya kama ulivyoshauri ungekuwa hapa leo ku-comment upuuzi🚮 PATHETIC BRAT!
Wewe ni mpumbavu, baba yangu angefanya hivyo kwanza kabisa;
. Baba asingekuwa na hasara yoyote
. Mimi nisingekuwa hapa,
. Nisingejua kwamba nilitakiwa kuwepo hapa
. Nisingepata hasara yoyote kwa kutokuwepo hapa
. Nisingejali chochote kwa sabab sipo hapa
. And last but not least, sikuombwa/sikuomba ushauri kwamba nizaliwe au nisizaliwe ili niwe au nisiwe hapa
Kwa hiyo, we ni fala tu unajipa umuhimu mahali usipohitajika. Hunipangii Cha kuandika little man, just close your eyes and imagine yourself by the sea🖕🚮
 
Punguza kujielezea sana bwana mdogo! Huwezi kutoa ushauri unaoweza kugharimu maisha ya mtu, alafu wakubwa zako tunyamaze! Lazima tukukanye!
 
Aendelee kuwala wote tu hamna shida hapo
 
Bora huyo ni rafiki wa mke...watu wamezaa na mdogo wa mke...akaushe tu, ikibumburuka abishe mwanzo mwisho hakuna kukubali hata kidogo.
Umenikumbusha mbali kidogo linikute hiloo asee kuna nawaza ingetokea wangenichukia ukoo mzimaa.
 
Jambo la kwanza ni kuhakikisha anafuta ushahidi wowote iwe wa call, meseji ama picha kama walipiga, then aanze kujitoa mdogo mdogo ikiwezekane amkane kabisa. Wanawake nawajua akili zao ndogo hapo Kuta anachokitambia ni vimeseji au vipicha alivyonavyo kama ushahidi.

Sasa akishahakikisha kavifuta hivyo viushahidi lazima huyo demu atakuwa mpole tu
 
Mnapoambiwa msinyee kambi huwa mnaziba maskio,yaani hata mtaani kwako haitakiwi uwe na mchepuko fanyia upuuzi wako mbali na home
 
😂😂😂 dogo mwache atotoe tu, wanawake wanajiweza siku hizi, atalea tu.
 
Ampe mkewe mimba.
 
Punguza kujielezea sana bwana mdogo! Huwezi kutoa ushauri unaoweza kugharimu maisha ya mtu, alafu wakubwa zako tunyamaze! Lazima tukukanye!
Kujielezea? Huku hakuna mtu anasikiliza mtu za kuambiwa changanya na zako. Hakuna anaejali, kama wewe unajali jali na hakuna kitu utafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…