Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Kwani huoni kama imepigwa picha?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Kupigwa picha hakuna uhusiano wa moja kwa moja kuwa imekatwa. Kama ulipiga wewe, si useme tu nilipiga nikaikata kuliko ku assume kuwa mtu kwa kuiona tu inampasa kujua imekatwa?
 
Kupigwa picha hakuna uhusiano wa moja kwa moja kuwa imekatwa. Kama ulipiga wewe, si useme tu nilipiga nikaikata kuliko ku assume kuwa mtu kwa kuiona tu inampasa kujua imekatwa?
Maelezo mengi ya nini? Nenda Wizara ya habari.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Sio sababu

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
Ni sababu , mbona yupo na makamanda hapo na hawajamkatalia kuvaa ? Hizo ni nguo tu zisiwaumize saaana.waliotufundisha kuvaa hizo nguo mbona wanavaa hata raia wao?hata watoto wanavaa.
 
Ni sababu , mbona yupo na makamanda hapo na hawajamkatalia kuvaa ? Hizo ni nguo tu zisiwaumize saaana.waliotufundisha kuvaa hizo nguo mbona wanavaa hata raia wao?hata watoto wanavaa.
Masikini vijana wa ccm !
 
Kuna wakati mkuu unatamani upigwe kama hivyo na kuachiwa kuliko wakufikishe mahakamani unakula kifungo haraka sana.
Jela ni kubaya mkuu, kwa umri wake, na maradhi ya jela acha tu.
Akitoka huko anakuwa kaharibika kabisa.
 
Mwigulu mbona alivaa za Polisi?

Mie mbona huvaa za mgambo?
Usije ukawa unajifanya mgambo wa mtaa ilikukusanya hela za wananchi kinyamela! Wale mnaong'ang'ania kumpeleka mhalifu kituoni ila hatua chache mnaanza kuuliza "unangapi hapo tukuachie?

Bora ya Jeshi kwa sababu hahusiki moja kwa moja na mwananchi wa kawaida kuliko hizo za mgambo ambazo kila mkusanya ushuru anazo
 
Jeshi letu lilinde ethic zake...leo kavaa mkuu wa wilaya, kesho atavaa diwani kesho kutwa Mwenyekiti Serikali ya mtaa.

Ruksa na Jeshi lipo kimyaa...siku nyingine na sisi raia tutatinga..si ruksa.
 
Rais wa Wilaya huyo. Awamu hii, Kila kitu kinawezekana.
Rais wa Kata yetu naye anataka kutinga..(Mtendaji wa Kata)...kila mtu na eneo lake..

Sasa sijui anavaa atutishe...?
 
Ni sababu , mbona yupo na makamanda hapo na hawajamkatalia kuvaa ? Hizo ni nguo tu zisiwaumize saaana.waliotufundisha kuvaa hizo nguo mbona wanavaa hata raia wao?hata watoto wanavaa.
Kila nchi ina sera zake za ulinzi na usalama, na zinatofautiana baina ya nchi na nchi.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Marufuku ipo kwa kuvaa nguo zenyewe za jwtz mpaka zile zinazo fanania.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…