Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Majeshi huwatumikia wanasiasa kwa namna moja au nyingine na ni watiifu kwelikweli.
Mara chache sana majeshi hupingana na siasa na hali huchafuka.
Cheo cha kisiasa hufanya majeshi yawe chini yake kwenye eneo lake kwa jinsi hiyo hiyo.
 
Mambo ndio kama hivi..

Wana usalama wetu ni wa hovyo sana, sasa huyu dogo wanampiga kwa sababu gani? Si wampe adhabu stahiki kuliko kumpiga kama mtumwa? Kwanza kawaambia anapenda kazi ya Jeshi ilibidi wamsaidie namna ya kufikia ndoto zake badala ya kumpiga, kupiga ni adhabu ya kitumwa, inaondoa utu na kupunguza kujiamini!
 
Halafu anajifanyaga mlokole huyo
Sijawahi ona mlokole akiwa ndani ya kombat za jeshi
Ni kweli ni mtu mnyenyekevu kwa kiwango chake...Binafsi ninamkubali...kwa unyenyekevu wake....mzee wetu wa kanisa pale mbezi tangibovu...hivi bado upo ...mkuu wa ulinzi na usalama wilaya ya Handen...ninakubali historia yake kaanzia maisha mbali sana...tafuta stori akipiga na salama...kwenye kipindi chake cha channel five enzi hizo...{sijui kile kipindi kilifia wapi..kilikuwa bomba sana}
 
Hayo mabaka ni ya JWTZ kweli?

Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
 
Back
Top Bottom