Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo Nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.