Fanyakazi acha uzururajiView attachment 1248415
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
View attachment 1248414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanyakazi acha uzururajiView attachment 1248415
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
View attachment 1248414
Akili kinyesi kabisa hizi! Ndio anaweza kuwa na akili kuliko hao wote. Jee haiwezekani?Kwahiyo wewe ndio una akili na ujuaji kuliko hao maafande waliomzunguka hapo huyo Double G?!!
Ni kweli ni mtu mnyenyekevu kwa kiwango chake...Binafsi ninamkubali...kwa unyenyekevu wake....mzee wetu wa kanisa pale mbezi tangibovu...hivi bado upo ...mkuu wa ulinzi na usalama wilaya ya Handen...ninakubali historia yake kaanzia maisha mbali sana...tafuta stori akipiga na salama...kwenye kipindi chake cha channel five enzi hizo...{sijui kile kipindi kilifia wapi..kilikuwa bomba sana}
Hilo limeandikwa kwenye ibara ya ngapi ya katiba ?
Amiri jeshi mkuu ngazi ya wilaya
Wewe una akili za mbegembege huelewi kitu bwashee!Akili kinyesi kabisa hizi! Ndio anaweza kuwa na akili kuliko hao wote. Jee haiwezekani?
View attachment 1248415
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
View attachment 1248414
HUYU MKWERE ALIKUWA HUKO SIO KAMA ASKARI BALI ALIKU "MGAMBO" HIVYO ALIKUWA ANAONA HAYA KUVALIA KIASKARI!!!
Halafu anajifanyaga mlokole huyo
Sijawahi ona mlokole akiwa ndani ya kombat za jeshi
huyu ni mwenyekiti wa kamati yaq ulinzi na usalama wa wilaya yupo sahihi jeshi wilayani liko chini yake acha ungese weweView attachment 1248415
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
View attachment 1248414
Tumekianza awamu hii. Kama unabisha hama nchiHakuna kitu Kama hiki Tanzania
Huyo JMK hakuwa na ulimbukeni maana alishazivaa sana enzi zake akiwa bado mwanajeshi tofauti na chattleboyInashangaza hata aliyekuwa Amiri Jeshi Ngazi ya Taifa Mstaafu lieutenant colonel Rais Jakaya Mrisho Kikwete sikumbuki akivaa gwanda la TPDF / JWTZ katika utumishi wake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hata ukiwa ngazi ya kitongoji kama mimi unaweza kutimba na gwanda la TPDFKwahiyo na muwakilishi wa Rais ngazi ya kata anaweza kuvaa
Kwa sasa Magufuli amenyoosha kila kituKama ndivyo basi yanahitajika mabadiliko makubwa ya KATIBA / SHERIA za nchi
Ngoja niingie chimbo kutafuta majawabuHivi eneo hilo lipo chini ya brigade/division ipi ya jeshi?