DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Nakuona bwana Godwin G. Umecheka meno thelathina nje yote mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona bwana Godwin G. Umecheka meno thelathina nje yote mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ni askari wa akiba wa muda mrefu tuuUkishindwa mambo madogo kama haya utaweza nini ?
Tumekianzisha awamu hii. Anayebisha ahame nchi.Hakuna hicho cheo
Halafu anajifanyaga mlokole huyo
Sijawahi ona mlokole akiwa ndani ya kombat za jeshi
Acha uzwazwa,wangapi wanakamatwa mtaani kwa kuvaa nguo hizo zisizo za JWTZ.Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Labda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa
Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
Alianza kazi kama msafisha vyoo pale mwanza(hii alisema mwenyewe),akaja kutangaza Rfa,akaja IPP akajiendeleza kimasomo akaanza kufundisha chuo cha saut(Dar),huo uaskari aliufanya lini?Huyu ni askari wa akiba wa muda mrefu tuu
Vijana wangapi wanakamatwa mtaani kwa kuvaa nguo hizo zisizo za JWTZ,je umesahau hata Bongo Movie walipigwa beat wasivae nguo hizo?Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.
Haujawahi kuona mtu anajifanya chizi, kumbe usalama!! Ulitegemea atakuambia yeye ni usalama?Alianza kazi kama msafisha vyoo pale mwanza(hii alisema mwenyewe),akaja kutangaza Rfa,akaja IPP akajiendeleza kimasomo akaanza kufundisha chuo cha saut(Dar),huo uaskari aliufanya lini?
Hata diamond JW walishataka kumdaka kwa kuvaa nguo za jeshi.Habari iko hapo chini:Vijana wangapi wanakamatwa mtaani kwa kuvaa nguo hizo zisizo za JWTZ,je umesahau hata Bongo Movie walipigwa beat wasivae nguo hizo?
Tumekianzisha awamu hii. Anayebisha ahame nchi.
So huko ulikofundishwa ndio uliambiwa kwamba Usalama maana yake anakua ndio askari wa akiba?hahahHaujawahi kuona mtu anajifanya chizi, kumbe usalama!! Ulitegemea atakuambia yeye ni usalama?
Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Wengi wao ni form four failures!Wana usalama wetu ni wa hovyo sana, sasa huyu dogo wanampiga kwa sababu gani? Si wampe adhabu stahiki kuliko kumpiga kama mtumwa? Kwanza kawaambia anapenda kazi ya Jeshi ilibidi wamsaidie namna ya kufikia ndoto zake badala ya kumpiga, kupiga ni adhabu ya kitumwa, inaondoa utu na kupunguza kujiamini!
😊😊Hizo ukivaa automatic unakuwa umejimwambaFY.
Hayo yote ulioongea umetunga.So huko ulikofundishwa ndio uliambiwa kwamba Usalama maana yake anakua ndio askari wa akiba?hahah
Rookies bana.
Hata hivyo ni kosa la jinai kuvaa nguo za jeshi au nguo zinazofanana na nguo za jeshi!Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.
Nimetunga nini?Hayo yote ulioongea umetunga.