Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Double G ni mnyenyekevu na mwenye busara sana ila naona kama ameanza kutoka kwenye utu wake na kuanza kujimwambafy.

Hawa watu wanaosema anamuwakilisha rais ngazi ya wilaya sijui kama nikiwaita wapumbavu nitakuwa nimekosea sana. Kuna mamlaka na haki ambazo anazo rais haziwezi kukaimishwa kwa mtu mwingine.

Huwezi kusema eti huyo ni amiri jeshi mkuu ngazi ya wilaya,utakuwa mpumbavu tu. Uamiri jeshi mkuu haukaimishwi kwa mwingine yeyote.

Nafikiri CDF angewavuta chemba hawa wanasiasa na akawaomba waachie hizi sare watu stahiki. Hali ikienda hivi wenyeviti wa vijiji wataanza kuzitinga sasa.
 
Yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani kwake..hivyo kama amepewa kibali cha kuvaa haina shida maadam hakazitumia vibaya..

Hata ww unaweza kuvaa sare za TPDF kwa kibali maalum toka kwa wahusika endapo kama kunaulazima wa kufanya hivyo

#imethibitishwa
 
View attachment 1248415

Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?

View attachment 1248414
Tatizo kuna watu akili zao hazibadiliki kabisa yaani walitamani kuwa wanajeshi lakini wakashindwa kwa hiyo walipopata vyeo wameona iwe rahisi kuvaa tu.
Kwangu naona ni ujinga tu na kujipotezea sifa ya kuwa kiongozi bora maana ni tamaa.
Jk mwenyewe alikuwa full mjeshi lakini hatukuwahi muona kavaa magwanda akiwa kiranja mkuu.
Wote walioyatamani ndo wasiochelewa kuyavaa.
Double GG katia aibu mno.
 
Ndio maana nilisema katika uzi mwingine kuwa vijana wetu waendelee kupitia JKT.

Wajue angalau kwa uchache mila, kanuni na desturi za Jeshi.

Jambo dogo kama hilo siyo la kuleta mjadala mkuubwa.
___

D
 
Na sijui hiyo sare imemsaidia nini Katika kuokoa Maisha ya wahanga wa mafuriko maana watu wanakufa tu, yeye amevaa Ili apige picha za Televisheni
imesaidia sana kwani sasa JWTZ ndio wanaojenga Madaraja ya muda kuunganisha barabara za Wilaya yake
Gondwe ndiye Mkiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na amepitia JKT sio km wengine waliojongo hawajui ya Jeshini
Ukute mtu mwenyewe hata ile JKT ya hiari hakupitia leo anatinga uniform ya JW. Hatari sana
Kapitia
 
Yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani kwake..hivyo kama amepewa kibali cha kuvaa haina shida maadam hakazitumia vibaya..

Hata ww unaweza kuvaa sare za TPDF kwa kibali maalum toka kwa wahusika endapo kama kunaulazima wa kufanya hivyo

#imethibitishwa
Kwahiyo na mwenyekiti wa mtaa nayeye ni ruksa kuvaa sare za jeshi? Maana na yeye ni Mwenketi wa ulinzi na usalama ngazi ya mtaa.
 
Back
Top Bottom