Huyu Said ni nani humu JF ambaye wanaamini ndiye Baba wa members wote?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano
Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote?

Kwa nini basi isiwe
Komeo la Chuma Ali au Ngendembwe John. Ila mmeamua iwe
1. Komeo la Chuma Said
2. Kizuio Said
3. Kizibo Said

Pale unapo reply uzi wa mtu. Je hii haiwezi leta shida hapo baadaye kwa watu wote kuadhan pengine mwenye jina la Said kapendelewa?

Hepi Nyu Yia.
 
Said Kichwa ndo maarufu
Said Kichwa wazi alipata hasira anatapika uji
 
Hivi uko serious kweli au?
 
Hapo kuna moja yakikristo na nyingine ya kiislam
Said
Saidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…