mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Ingekua wakati Mr.Nice yupo juu nisingesema mbuzi wa maskini hazai! Yaani alitaka kufanya nae kazi wakati Mr. Nice keshapotea... ckumbuki vizuri but I think ilikuwa mwaka 2012 au 2013. Kinyume chake, Mr. Nice akapanda na nyembe kwenye mgongo wa Sallam!Kipindi gani?..Wakati Nice bado yuko juu?
Hata watu wengi hawakujua kuwa balozi wa tembo aliomba msamaha....!Jamaa muwazi sana na ana busara pia maanake hiyo issue ya Kiba alivyoielezea...
Naimani wigo wa kazi zake utakua zaidi kila uchwao,sasa basi aachane na hiyo mikataba aliyoiita ya kiimani.
Kwa jinsi jamaa alivyotoa maelezo nnahisi huyo mdau kama Seven vileLabda Leo watu wakiambiwa juu ya Mtanzania ambaye Ni mdau mkubwa WA muziki aliyekuwa akimkwamisha Diamond ili asipate airtime Channel O kama salama anavyosema, hawataamini, Kila siku huwa nasema mdau huyo kakatisha ndoto za wasanii wengi!
Pia watu kama aina ya jamaa kwenye tasnia mbalmbal tungeweza kufika mbali sanaHuyo ndio Jorge Mendez wa Bongo fleva.Tungekuwa na watu 10 kama Sallam bongo fleva ingetesa sana kimataifa
cloudz media group?? or "ninong'oneze mkuu"!Yupo wazi anapatikana Mikocheni. Wanamiliki "dalili ya mvua" kiingereza, Tv na Redio. Hao wana roho mbaya sana.
daaaaahh pcha tafadhar kwa aliyenayo au utamburisho wake zaid, mana nnashauku naye sana.huyo mtu anaitwa 'saba' kwa kiingeleza, huyu dada haziivi na daimondi, kampromote sana kiba, anakampuni yake inaitwa "rock star" kabla ya kufungua kampuni yake alikuwa sony music africa, ashapiga mzigo trace, mtv, kwa sasa ndio anasimamia mzigo wa bi dada jay dee "ndi ndi ndi" hataree
Jamaa nazifahamu sana harakati na ubora wake! Kipindi kile alipokuwa connected na Mr. Nice nikajua Mr. Nice lazima arejee kwenye soko la muziki kwa kasi sana kumbe Duh, Nice kapanda na nyembe mgongoni kwa Sallam!Dah wewe jamaa unamjua vizuri Sallam.. Unanikumbusha enzi za TIOT na Moro United Chelsea ya Bongo... Mendes ni kichwa kwenye connection.
Una maanisha seven Mosha?anaitwa seven
ii post nimeipenda....inanigusa katika mchakato wa maisha yangu!!Kila sehemu aliyoingia DIAMOND alikutana na figisu,lakini alipambana na leo hii anakula matunda,lakini wale waliokuta mtelemko ndio ambao wenyewe wanaendelea kulalamika japo ndio walikuta kila kitu kipo kwa ajili yao ila hawezi kuvitumia.
Huyu ndo mfano wa meneja sasa...Nilikuwaga najiuliza Tale na Fella hata umombo walikuwa hawajui...Hizo connections za kimataifa walikuwa wanafanyaje..Kumbe Sallam ndo kichwa chao
Mkuu kila kitu kinaumuhimu wake..
Deals za ubalozi TZ huwa anasimamia Babu Tale, unajuwa zinaingiza pesa kiasi gani kwa Diamond?
Collable ya Neyo na Diamond Babutale ndio alifanya maongezi kilakitu mpaka kufikia maelewano licha ya Diamond kukubalika na Neyo kabla ya hapo..
Afu ukija kwa Fela huyu jamaa analijua game vizuri sana. Watu huwa wanazungumzia "FITNA" kijuujuu lakini ni kitu muhimu sana kwenye management ikiwemo timing ya utoaji nyimbo, nyimbo ipi, kutafuta wadau wa kufadhili promotions (kama Dr. Mwaka alivyotoa milioni 50 tangazo lake likae kwenye video ya utanipenda), shows za ndani bongo na hta nchi karibu, kuwa karibu na watu wa media n.k...
Kila mmoja anaumuhimu wake..!!!
Ninayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho,Kuna sehemu diamond anaimba anayepanga ni rabana ila anayeficha ni confidential ukisali sali sana mumeo nisije kuwa kichekesho