Huyo shostito kisha mkubali boss na boss kakubali kugharamia matibabu. Sasa boss anataka proof kutoka kwa Dr ili aanze rasmi kutoa hela
Hayo maswali nilosema nikamuiliza akayajibuunafikiri maswali yako yalionyesha msimamo wako? Unadhani kwanini bado alimsukumia huyo dokta kuwa una ujumbe wake? You were not open and bold enough to show her how mad you were to a stupid request!

Nilimchamba sana kwa huo upuuzi ila nikaona anajichekesha chekesha tu nkaona nifunge vioo mie
na nikieleza A to Z si utachoka hata kusoma?
Nilikuwa na kiwi nikaamka.....Mbona ni usiku sana..!
Wanawake wengine bwana...! Unaomba Mungu usikutane na mizigo mizito kama hiyo..bora kubebeshwa gunia la misumari..
Evelyn... mi ni doctor. Nipe namba ya huyo shosti. Yatakayoendelea usitake kujua. Ila boss atakoma...
Teh teh unataka umuover take boss?
kutojiamini shida sana, sasa ataandika anaumwa kizazi hadi lini? Mwambie aandike yuko hiv+
hapa itabidi na mimi
Nilog off
Madame B kuna mtu ana hamu na wewe.....
Umeona eh!hapa itabidi na mimi
Nilog off
Akiliwa atanambia, boss aliniita hotelini nikaenda nikala alivonambia twende chumbani nikakataa....Kutokujiamini ni tatizo.
Uongo wa nn just say yes toa mzigo no funga contract
Huyo Dokta ni nani yako...
Wewe si ulikuwa unasema dushe ka tangawizi!! hahaha!!