Huyu shoga angu kanichefua sana

Huyu shoga angu kanichefua sana

Huyo shostito kisha mkubali boss na boss kakubali kugharamia matibabu. Sasa boss anataka proof kutoka kwa Dr ili aanze rasmi kutoa hela

we umeongea point hapa anataka pesa aksafishwe kizazi hana lolote
 
Wanawake wengine bwana...! Unaomba Mungu usikutane na mizigo mizito kama hiyo..bora kubebeshwa gunia la misumari..
 
Evelyn... mi ni doctor. Nipe namba ya huyo shosti. Yatakayoendelea usitake kujua. Ila boss atakoma...
 
Hayo maswali nilosema nikamuiliza akayajibu
unafikiri maswali yako yalionyesha msimamo wako? Unadhani kwanini bado alimsukumia huyo dokta kuwa una ujumbe wake? You were not open and bold enough to show her how mad you were to a stupid request!

Nilimchamba sana kwa huo upuuzi ila nikaona anajichekesha chekesha tu nkaona nifunge vioo mie
na nikieleza A to Z si utachoka hata kusoma?
 
Wanawake wengine bwana...! Unaomba Mungu usikutane na mizigo mizito kama hiyo..bora kubebeshwa gunia la misumari..

Kuna mazingiara kweli ni mzigo ila si kuna unafuu kwa watongozaji
huoni kama anarahisisha zoezi la tongozo?
 
Huyo naye boya kweli kukataa tongozo mpaka ahangaishe watu wote hao. Alitaka kukujuza kuwa boss ake kamtokea
 
Kutokujiamini ni tatizo.
Uongo wa nn just say yes toa mzigo no funga contract
Akiliwa atanambia, boss aliniita hotelini nikaenda nikala alivonambia twende chumbani nikakataa....
wapiii fix tu boss kasuuza rungu
 
Back
Top Bottom