Huyu shoga angu kanichefua sana

Huyu shoga angu kanichefua sana

Kama yupo humu potelea mbali acha anisute tu kwani sh ngapi.....!!?

Nimekaa zangu mara meseji ya shoga angu ikaingia "mambo, naomba uongee na doctor anitengenezee cheti kuwa nnaumwa kizazi" sikutaka kuhoji hata sababu nkahisi anataka kupiga hela za ofisi nikajibu "namba si unayo mwambie"
akapiga kimya kwanza, baadae akaona afunguke tu na ndo aliponikera mie .......

"nahitaji cheti nimuoneshe boss wangu sababu ananitongoza, sasa nimemwambia naumwa kizazi"
fck nkajiwazia tu huyu shost angu ni taahira au? Huu si uboya nilichouliza "huyo boss ana kipi hasa cha kukutetemesha hivo hadi watu wakimbizane na mihuri kisa we umetongozwa"? Oooh nimemwambia naumwa kizazi....ndo nataka nimuoneshe cheti mxyuuuuuuuuuuu......
means ukipona utampa? Unamtaka ila unaona noma kumpa? Kama kizazi kinauma akiomba huko toilet je?
au ndo kudorishia tu kuwa katongozwa na boss, mbona ma boss ambao hawatongozi wafanyakazi wanahesabika
kisa boss ndo asiambiwe sitaki? Au ndo msemo wa lara 1 kuwa unamkataa mtu kiutu uzima!
kama utu uzima ndo huu acha anione mtoto zile za "unikome babu na sura lako baya" zitaapply tu huu ni ufa.lah

Mi siwezi mwambia doctor huu ujinga, nikajiaibisha kijinga jinga hivi
nikashangaa doctor ananambia nimeambiwa una ujumbe wangu, nikamjibu sina ujumbe mwambie akuambie mwenyewe
akaaa cha kujitia aibu!!!
jamani eeh njaa zipo, shida zipo ila sio zitufanye watumwa kiivo.....
ningemjua huyo boss wake ningemsisitiza azidi kumuomba na amle tu

Viatu si saizi moja kwa watu wote mamkwe! Msaidie anunue saizi yake sio yako!
 
Evelyn Salt huyo rafiki yako muongo,, issue tunayogombania ni kuwa mimi nimestuka kuwa anaujauzito wangu na yeye anataka kuutoa sasa yeye anasemaga eti yeye anatatizo la kizazi wakati mimi sikuonaga shida wakati na......... eti wajama si kutapeliwa huku.. na mifweza yang na mi nusu kuku alikula.. mimi nilijua tu kama hii ni sanaa ona sasa mpaka na ww umejua siri yetu... dawa yake ni kumfukuza kazi tu baaaaas ndo ajuage sisi vibosile noma
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmhhh....
 
Huyo shostito kisha mkubali boss na boss kakubali kugharamia matibabu. Sasa boss anataka proof kutoka kwa Dr ili aanze rasmi kutoa hela

Umesema kweli mamito
 
Back
Top Bottom