Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja.
Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu huyu Jamaa. Anyway huenda ni coincidence Kila tukio ahojiwe yeye....
Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu huyu Jamaa. Anyway huenda ni coincidence Kila tukio ahojiwe yeye....