Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

Hawa jamaa kila wakati wakifanya ujinga wao huwa wanaumbuka, na kwa jinsi wanavyohangaika hivyo inaonesha wazi pressure imeanza kuwapanda wananchi wameshajua ukweli hayo masoko huunguzwa kwa makusudi usiku...
Hao wahuni ni kina nani na vyombo vya dola ni kina nani labda tuanzie hapo.
 
Hivi Tanzania hatuna waandishi wa habari za kiuchunguzi? Tokea moto wa Kariakoo mpaka na huu wa Karume wa juzi kati hapa hakuna taarifa zozote za kina kumhusu huyu jamaa?

Ila Clouds nao wananipa maswali magumu nikitazama ishu ya Sabaya na huyu jamaa siwaelewi kabisa.
 
Waandishi wachache kwa bongo sana tena hawazidi hata 5%.Siku hizi wengine habari wanazichukua mtandaoni kama zilivyo.
 
Chanzo wanasema mateja?

Je mjiulize mateja wanakuwepo hapo wanafanyaga mambo yao au?

Ova
 
Mitumba inauzwa na mateja siku hizi
Mateja mbona wapo kitambo sana wana kijiwe Chao nyuma ya mabanda ya mama lishe
Na mateja hapo wanakuwepugi wanapigaga kazi ili wajipatie riziki ndg ndg
Ila kwa kauli ya yule shuhuda hatuwezi jua ukweli anaujua yeye maana anasema aliwaona

Ova
 
Back
Top Bottom