Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

Yani hii nchi ina mijitu ya ovyo kabisa. Haina hata kiini macho. Mbona mapandikizi ni wengi tu, kama dhamira ilikuwa ni kupoteza watu maboya wangetumia pandikizi tofauti. Lakini kwa mentality yao mbovu wakaona Kariakoo aliongea vizuri basi hata Karume tumtumie huyo huyo.

Ila huyo mpuuzi akae ajitafakari, aangalie wale kina mama wanavyolia kwa kupoteza kitu pekee kinachowapa kula yao. Hizi shuhuda za uongo zitamletea laana mbeleni. Asidanganyike na vijisenti vya muda kwa laana ya kudumu.
 
Kuna nyakati kukanusha ama kuzima uvumi ni hatari kuliko kuacha maisha ya uvumi yaendelee.

Ona sasa, anahitajika mwingine ajitokeze kufuta coincidence hii
 
Kuna nyakati kukanusha ama kuzima uvumi ni hatari kuliko kuacha maisha ya uvumi yaendelee.

Ona sasa, anahitajika mwingine ajitokeze kufuta coincidence hii
Hivi sababu ya kufanya yote haya ni Nini?
 
Yaonesha ni kama hujuma fulani ili baadhi ya watu wanufaike je ni kina nai makampuni ya ujenzi, mainjinia wa jiji au? Wafanyabiashara wenyewe?
 
Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja...
Hawa ni watu maalum wanaotumika kuchoma masoko
 
Kwa nini huyu aliyevua nguo kipindi soko la kariakoo linaungua leo aje kutoa ushahidi wa mashaka kuwa mshumaa wa mateja umesababisha moto soko la Karume?

Hii ni big controversy na ni aibu kwa waliomtuma huyu kijana.
 
Kuna ishu y kuyatia kiberiti aya masoko na uwa plan kbsa
 
Umaarufu wa kitoto utamtokea puani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…