Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Binafsi kosa ninaloliona ni Hapo kwenye kutoa taarifa za kwenda msibani ilitakiwa aombe ruhusa ya kwenda msibani na Hapo kimsingi sio yeye kwenda kumpeleka mtoto wake akamzike babu yake
 

Kitakachokupa shida dada hapo ni NATURE !

Ukitaka kuishi maisha ya shida basi bishana na nature
Nature inageuka sheria
Na wakati mwingine unahukumiwa kwa kuharibu na kupingana na nature

Najua hujanielewa

Mwanaume anaweza kuwa na wake wa2,3 na jamii ikaona kawaida
Ila kamwe mwanamke hawez kua na waume watatu
Dunia ikaona kawaida

Kwasababu ya nature
Ndio iko hivyo
Haiwi kinyume
 
Alafu nina shida badae nicheki nimepoteza namba zako.
 
Dada yangu ambae ni single mother na hata wew ulieolewa na upo humu

Ichukue hi itakusaidia
Huyu mwanaume ambae amekuchukua amekuowa na kukufanya mkewe
Anakutunza na kukuheshim basi elewa huyo ndio anakupenda wew kuliko wanaume wote duniani hapa
Usijilaghai kwa chochote
Usidanganyike kwa kitu
Leo hana fedha mshike mpe moyo
Amsha hari ya mapambano moyoni mwake
Muoneshe kua unampenda na kumjali
Furahia anaporudi nyumbani
Mfanye afanye kazi kwa bidii,Lakini pia mfanye apende kurud nyumbn
Muelewe,mwambie unavyojisikia
Mfanye akuone wew ni mkeo

Dunia ina wanawake wengi
Ila amekuchagua wewe
Basi vimba...kwa kuchaguliwa kwa kumuonesha ya kua umefurahia na kuheshimu chaguo lake

Kama wew n singl mother (napata ukakasi kuita hivyo) na amekuowa basi elewa ya kua ana pambana sana ki akili kupambana na mambo anayoyasikia kwenye jamii
Basi muoneshe ya kua wapo wengine ambao ni smart kiakili,matendo


Sisi wanaume tunaweza kufanya vingi sana
Ila udhaifu wa kuji contlo mbele ya mwanmke tunaempenda ni zero
Ukiona wew unatumia most of power kumuendesha mwanaume basi jua unatatizo wew mwenyewe!

Mwanamke unalalamikaje mwanaume hakujali? Unaakili wewe?
 
na hiyo mimba aliyo nayo una uhakika wewe ndiye mhusika au ni ya mtoto wa huyo baba mkwe wake wa zamani/
 
Agiza wema mbili na Paula 5 nitalipia
 
kitu gani?
 
Na bado utakoma, nani kakwambia uzae zae bila ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…