Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Binafsi kosa ninaloliona ni Hapo kwenye kutoa taarifa za kwenda msibani ilitakiwa aombe ruhusa ya kwenda msibani na Hapo kimsingi sio yeye kwenda kumpeleka mtoto wake akamzike babu yake
 
ila nyie wanaume mkizaa na wanawake mpaka vyumba mnawapangia kwa sababu ya watoto/mtoto wenu ila sisi wanawake kwenda tu msibani inakua tatizo
Hajakutoroka hajakuficha kakwambia ukwelila unataka asiwe hata na ushirika na ukoo wa mwanae, sad know that kuachana sio uadui

Kitakachokupa shida dada hapo ni NATURE !

Ukitaka kuishi maisha ya shida basi bishana na nature
Nature inageuka sheria
Na wakati mwingine unahukumiwa kwa kuharibu na kupingana na nature

Najua hujanielewa

Mwanaume anaweza kuwa na wake wa2,3 na jamii ikaona kawaida
Ila kamwe mwanamke hawez kua na waume watatu
Dunia ikaona kawaida

Kwasababu ya nature
Ndio iko hivyo
Haiwi kinyume
 
Shida ni kua dada yangu kuna namna unaliona hili swala

Ila hi hainipi ugumu kusema bado tatizo lipo kwako...
Me binafsi kabla sijaongea chochote ntakuuliza about you na familia yenu kiujumla
Ukinmby tu nna mtoto swali linakofuata ni
Yupo wap baba yake...ikiwa yupo basi utanisamehe.!
Siandiki haya kufurahisha geng nmeonja joto la jiwe
Nmepaliliwa moto kooni
Nnaongea picha iliyopo mkononi
Siongei alinacha kama watu wengine
Sio hakuna mapenzi ya kweli bali ni kua mnarud kwa wazazi wenzenu
Alafu nina shida badae nicheki nimepoteza namba zako.
 
Dada yangu ambae ni single mother na hata wew ulieolewa na upo humu

Ichukue hi itakusaidia
Huyu mwanaume ambae amekuchukua amekuowa na kukufanya mkewe
Anakutunza na kukuheshim basi elewa huyo ndio anakupenda wew kuliko wanaume wote duniani hapa
Usijilaghai kwa chochote
Usidanganyike kwa kitu
Leo hana fedha mshike mpe moyo
Amsha hari ya mapambano moyoni mwake
Muoneshe kua unampenda na kumjali
Furahia anaporudi nyumbani
Mfanye afanye kazi kwa bidii,Lakini pia mfanye apende kurud nyumbn
Muelewe,mwambie unavyojisikia
Mfanye akuone wew ni mkeo

Dunia ina wanawake wengi
Ila amekuchagua wewe
Basi vimba...kwa kuchaguliwa kwa kumuonesha ya kua umefurahia na kuheshimu chaguo lake

Kama wew n singl mother (napata ukakasi kuita hivyo) na amekuowa basi elewa ya kua ana pambana sana ki akili kupambana na mambo anayoyasikia kwenye jamii
Basi muoneshe ya kua wapo wengine ambao ni smart kiakili,matendo


Sisi wanaume tunaweza kufanya vingi sana
Ila udhaifu wa kuji contlo mbele ya mwanmke tunaempenda ni zero
Ukiona wew unatumia most of power kumuendesha mwanaume basi jua unatatizo wew mwenyewe!

Mwanamke unalalamikaje mwanaume hakujali? Unaakili wewe?
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma

2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri

MREJESHO

Baadaya ya huyu mwanamke kurudi kwenye msiba,nimekaa nikitafakari sana kitendo hicho.

Alikaa siku siku tatu mpaka akamaliza matanga,sijaua alivyoonana na x wake wamezungumza kitu gani...()

Kiukweli,alipo rudi kutoka kwenye msiba nilimkwepa kama week tatu hivi kwasababu bado stress zilikuwa juu ila kwa simu tunawasiliana naye kama kawaida.

Baada ya week tatu nilimuomba tuonane,baada ya kukutana tulionger japo mongezi yetu hayakujikita kwenye mambo ya msiba.

Lengo kukutana naye nikutaka niwe naye karibu sana kwasababu kwanza nimjamzito lakini pili nipata nafasi ya kumsoma na kujua nguvu ya mahusiono yake ya nyuma.

Nilimuambia aje tukae naye kwasababu ni mjamzito ili niweke mikakati ya kwenda kwao kujitambulisha ila lengo ni kutaka kujua yale mahusiano x.wake yanapo nguvu kiasi gani..

Alikubali kuja tukaanza kuishi kama kawaida ,hiyo mimba ina miezi minne kipindi hicho.

Anyway,mimi ni mtu ambaye nipo busy sana kwasababu ya maswala yangu ya biashara na kazi za hapa na pale..hivyo nikitoka saa mbili asibuhi narudi saa nne usiku au tano..nikirudi ni kula na kulala nakula mzigo kimtindo.

Baadaya week tatu leo nikasema ngoja nishinde nyumbani na huyu mwanamke ..embwana saa tatu asubuhu nageuke hivi nakutana na miss call kama 8 na namba hazijasaviwa kabisa zimepigwa kwenye simu ya mwanamke huyu.

Nikamgeukia nikamgusa bega nikamuuliza baby huyu ni nani kakupigia simu nyingi hivi..
Mimi:Nani kakupigia misscall nyingi kiasi hichi?
Mwanmke:simjui
Mimi:huyu anaonekana ni mtu anayekufahamu kwasababu kapiga mara nyingi sana..

Mwanamke:simjui
Mimi:basi mpigie alafu weka loud tusikie anasema nini?
Mwanake: aah!aah!sawa!

Simu inapigwa na mwanake

Mwanamke:Hello

Jamaa:mbona hupokei simu yangu?

Mwanamke;unasema

Jamaa:mbona haupokei simu yangu unakwanza nini?

Mwanamke:kimya

Jamaa:upo wap sasa?

Mwanamke:nipo kwangu
Nb..hajasema nipo kwa mume wangu hivyo acha kunisumbua......??????
Jamaa:naomba tuonane kesho akataja mkoa
Mwanamke:kimya

Baada ya hayo mazungumzo nikamuuliza mwanamke huyo nina anaongea na wewe na anaoneka anammalaka na wewe.
Mwanamke:ni yule x wangu ananisumbua.

Baada ya hapo nilishuka kitandani kama upepo nikaenda kutafuta konyagi mahali ilipo.

Anyway,nilitafakari na kusema bora nimejirizisha juu ya hili ila kwasababu nimjamzito nitakaa naye siku anaemda kujifungua ndio bye,bye mazima
Naona mwanamke wa design hii atakuja kunisababishia pressure na kisukari mapema.

Na inaonekana siku tukikwaruzana naye kwenye mahusiano nirahisi sana kukimbilia misri

Nimekaa naye ila ameniona nimebadilika sana,ni mtu ambaye sina tumaini tena kwenye hayo mahusino baada ya hapo aliyejifungua na baada ya hapo nikamuambia safari yetu imeshindikana hivyo tuwe wazazi tu.na bahati nzuri kanizalia binti amefanana sana na mimi na anamiezi kumi sasa.
na hiyo mimba aliyo nayo una uhakika wewe ndiye mhusika au ni ya mtoto wa huyo baba mkwe wake wa zamani/
 
Kitakachokupa shida dada hapo ni NATURE !

Ukitaka kuishi maisha ya shida basi bishana na nature
Nature inageuka sheria
Na wakati mwingine unahukumiwa kwa kuharibu na kupingana na nature

Najua hujanielewa

Mwanaume anaweza kuwa na wake wa2,3 na jamii ikaona kawaida
Ila kamwe mwanamke hawez kua na waume watatu
Dunia ikaona kawaida

Kwasababu ya nature
Ndio iko hivyo
Haiwi kinyume
Agiza wema mbili na Paula 5 nitalipia
 
Hata sitaki kuwasikia kabisa single mama, yupo mmoja nilimpenda na nikaamini huyo ndio mke wangu, nilimjali kwa kila hali na nashukuru kwa hilo hata yeye mwenyewe kwa mdomo wake alikiri tukiwa kwenye mahusiano nakumbuka aliwahi kuniambia, "hakika Atlas wewe umejua kuirudisha furaha yangu iliyokua imepotea na kuanza kukataa tamaa ya maisha" ila kilichokuja kutokea baada ya hapo ni history,
kitu gani?
 
Kumbe mmeshaona single mother's ni watu wa hovyo, wasio na mapenzi ya kweli. Swali kwenu kwanini bado mnawatongoza? Mnawaoa? Kwa akili yangu, kitu kama ni hatari nakiepuka kabisa. Waacheni, mdate na wasiozaa halafu tuone, je hao ni Malaika na hamtalalamika tena? Tuko hapa...
Na bado utakoma, nani kakwambia uzae zae bila ndoa
 
Back
Top Bottom