Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauri
Sijakuelewa, sijui umeandika nini hapoUsiwe mjinga kiasi hicho, unajua yatakayomkuta? Je yeye akimwambia kisha akakamatwa na wakasameheana na yeye mtoa taarifa akajulikana unazani itakuwaje, wewe unajua kinachofanya awasiliane na huyo mzazi mwenzie? Ndoa zenyewe mashaka tupu watu wanaishi tu kwakuogopa macho ya watu huko ndani ni shida tupu awaache wakamatane wenyewe kua basi hata kidogo acha utoto, halafu mie sijaandika tusi lolote.
Single mother ni shida. Do not try at home.Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.
ONE MAN DOWN AGAIN.Anyway,nilitafakari na kusema bora nimejirizisha juu ya hili ila kwasababu nimjamzito nitakaa naye,alafu siku anaenda kujifungua ndio bye,bye mazima
Naona mwanamke wa design hii atakuja kunisababishia pressure na kisukari mapema.
Unampeleka halafu kwa mbali unaona akikonyezana na Ex wake kidizainiHuyu mwanamke hana akili kabisa. Alipaswa akufuate akueleze kisha asikilize uamzi wako. Angekuwa nazo mkichwa alipaswa akupe room tu kuamua na kama vipi angekuomba umpeleke na mrudi wote.
Nakuunga mkono kumpiga chini kwani hajitambui. Mwenye akili asingeenda labda angemtuma dadake akampeleke mjukuu wao tu.
Tayari ashakuwa single mother wa watoto wawili.Dada ndio upate picha harisi ya nini kinakuepo
Watu humu wanahisi sisi tuna roho mbaya
Kumbe ... tunaandika kitu kilichopo
Tunaandika yaliyopo
Sasa je kwa story hiyo ni nani atakae sema vizuri humu??
Waliotaka kuwaoa si unaona walichofanyiwa?? Tuna share uzoefu tu hapa😅Hii topic ya single Mazas inachosha, kama hamtaki kuwaoa tumewasikia, fungeni mabakuli yenu wanaowaoa wawaoe
Mtihani sanaMimi nimezalisha wawili na wote wameolewa ila sasa tatizo dogo tu napigiwa simu ohhoo mwanaume hajui kunitunza kwanza hata kitandani ni mbovu yaaan makolo kolo kibao wakifanya safari ya kuja dar lazima watake nikawakamue sasa ndipo nilipogundua kuoa single mother inatakiwa uwe na roho ya kusamehe...
Umeongea la maana sana. Kwenye jamii zetu tangu zamani single moms wanaolewa vizuri tu tena wengi Lakini hawakuwa na kiherehere kama hawa wasasaMimi naona hayuko sahihi aisee, huko ni kujipendekeza eti kwa Babu,hafu vipi ku Force kingi na huyo baby daddy si ana mke. Kipindi nakua single mom walikuwa wanaolewa mbona walikuwa hawafanyi huo ujinga sijui kwa Babu wa ex wangu blah blah, dah being single mom kungempa alert ya kuwa makini na kuacha kuruhusu mimba nyingine maana ni stress tupu
Usiwe bushoke jisimamiePole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
Wadada tunakosea hapo tu ukisha achana na mtu yanin uende msiban
Kama alishaunganisha undugu basi akienda akamrudie Ex wake hukohuko hata kama alishaoa akawe mke wa pilikosa lake hapo ni nini sasa?jaman walishaonganisha undugu kupitia mtoto waliyezaa hivo hata kama wameachana kunapotokea msiba sio vibaya kwenda!au ulitaka wasijuane kabisaa
Ungekuwa Mwanaume usingeandika hivi. Kwanza kabisa Mwanamke anapaswa amsikilize na amtii Mumewe, akisema ''Sitaki Uende'' unapaswa uelewe na ukae nyumbani or whereverNdio sababu ambayo kama watu wazima mnaweza zungumza na mkaelewana
Kelphin umetoa bonge la shule. Inatosha kabisa hii full packageDada ntakujipu line yako moja baada ya nyingine
Hivi unajua kwanin tunawakataa singl m?
Sio sababu amezaa mtoto!
Hakuna mwanaume kamili hapa duniani anaekimbia majukumu
Ukiona mwanaume anakimbia majukumu huyo ni mwenzenu!!
Mwanaume ni kupambana na yaliyo mbele yake
Hi ndio nature harisi ya mwanaume!
Hivi unadhani sisi tunachokwepa ni wew kuzalishwa? Kama unadhani ndio hivyo basi ushakosea
Sisi tunachokimbia ni kukuowa wewe na kisha kuendeleza na mzazi mwenzio..
Ndio maana popote ukiomba ushaul wa kuowa s mother swali utakaloulizwa na ndugu/jamaa na rafiki ni ...Yupo wapi baba wa mtoto?
Hawaulizi jinsia,idadi,elimu,miaka au chochote kuhusu mtoto au mama
Wanauliza uwepo wa mzazi mwenza!!
Kwanini? Kwasababu yakuhofia ukaribu wao baada ya wew kuowa!
Asilia ya mwanaume ni kutamani!
Wewe ulishazakishwa...akakuacha hi inamaana hakuona thamani yako
Me nmekuchukua nmekuowa nmekutunza kama mke wangu mimi
Yeye anakuja tena unamkubalia hiv hili ni tatizo la mwanaume anaekufata au lakwako?
Watakuja wangapi? Kwanini ukubali wakati tayari unajua wewe n mke wa mtu? Kwanini hakuiona thamani yako wakati ule?
Unadhan baada ya kulala na wew tena atakuowa kama anavyokudanganya?
Hilo ni tatizo lako na sio wanaume.
Single mother akimludia kufanya mapenzi na mzazi mwenzie hilo sio tatizo la mwanaume yoyote kati ya hawa wawili [mention]Mshana Jr [/mention] (unaweza ni rekebisha hapa)
Ni lako na uchafu wako
Na ujinga wako
Na upumbavu wako
Kwasababu hawa wote wawili unawajua vizuri
Mtu akiona thamani yako inamaana amekuheshimu pakubwa
Ameweka imani na wewe
Amekupenda
Kiasi ameamua kupigana na fikra mbovu za jamii (ambazo kimsingi umezitengeneza mwenyewe)ili tu wewe ufurahi
Ila bado unarud huko huko
Hapa mwanaume anakosa gani?
Sasa ndio wakajuane vizuri maana kimeshanuka. Mtu aliyekuzalisha akakubwaga kama mbwa bado unamfata fata una akili kweli?kosa lake hapo ni nini sasa?jaman walishaonganisha undugu kupitia mtoto waliyezaa hivo hata kama wameachana kunapotokea msiba sio vibaya kwenda!au ulitaka wasijuane kabisaa
Ni changamotoKelphin umetoa bonge la shule. Inatosha kabisa hii full packageAhsante
Weeee usiniambie😆😆😆
Tujaribu 😅Weeee usiniambie😆😆😆
Singo mama ukiwa unajielewa,unaingiza pesa mwenyewe,humsumbui mtu…mara nyanyaaa Sijui nyenyenyee,ohooo nyunnyunyuuuu basi hizi comments hazitakusmbua medulaoblangataTujaribu 😅
Single mother wengi wanafeli kwa kutegemea mwanaume amlele mtoto wakeSingo mama ukiwa unajielewa,unaingiza pesa mwenyewe,humsumbui mtu…mara nyanyaaa Sijui nyenyenyee,ohooo nyunnyunyuuuu basi hizi comments hazitakusmbua medulaoblangata