Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauri

Dada ndio upate picha harisi ya nini kinakuepo
Watu humu wanahisi sisi tuna roho mbaya
Kumbe ... tunaandika kitu kilichopo
Tunaandika yaliyopo
Sasa je kwa story hiyo ni nani atakae sema vizuri humu??
 
Usiwe mjinga kiasi hicho, unajua yatakayomkuta? Je yeye akimwambia kisha akakamatwa na wakasameheana na yeye mtoa taarifa akajulikana unazani itakuwaje, wewe unajua kinachofanya awasiliane na huyo mzazi mwenzie? Ndoa zenyewe mashaka tupu watu wanaishi tu kwakuogopa macho ya watu huko ndani ni shida tupu awaache wakamatane wenyewe kua basi hata kidogo acha utoto, halafu mie sijaandika tusi lolote.
Sijakuelewa, sijui umeandika nini hapo
 
On
Anyway,nilitafakari na kusema bora nimejirizisha juu ya hili ila kwasababu nimjamzito nitakaa naye,alafu siku anaenda kujifungua ndio bye,bye mazima
Naona mwanamke wa design hii atakuja kunisababishia pressure na kisukari mapema.
ONE MAN DOWN AGAIN.

una uhakika hiyo mimba ni yako?😁😁
 
Huyu mwanamke hana akili kabisa. Alipaswa akufuate akueleze kisha asikilize uamzi wako. Angekuwa nazo mkichwa alipaswa akupe room tu kuamua na kama vipi angekuomba umpeleke na mrudi wote.

Nakuunga mkono kumpiga chini kwani hajitambui. Mwenye akili asingeenda labda angemtuma dadake akampeleke mjukuu wao tu.
Unampeleka halafu kwa mbali unaona akikonyezana na Ex wake kidizaini
 
Dada ndio upate picha harisi ya nini kinakuepo
Watu humu wanahisi sisi tuna roho mbaya
Kumbe ... tunaandika kitu kilichopo
Tunaandika yaliyopo
Sasa je kwa story hiyo ni nani atakae sema vizuri humu??
Tayari ashakuwa single mother wa watoto wawili.

Infact Single mothers wanakuws hivyo kwa sababu wanapenda Pipe.
Hawaridhiki na Pipe moja hata uwape huduma gani.

Na bado atapigwa ana mwingine tena mimba ya tatu.
 
Mimi nimezalisha wawili na wote wameolewa ila sasa tatizo dogo tu napigiwa simu ohhoo mwanaume hajui kunitunza kwanza hata kitandani ni mbovu yaaan makolo kolo kibao wakifanya safari ya kuja dar lazima watake nikawakamue sasa ndipo nilipogundua kuoa single mother inatakiwa uwe na roho ya kusamehe...
Mtihani sana
 
Mimi naona hayuko sahihi aisee, huko ni kujipendekeza eti kwa Babu,hafu vipi ku Force kingi na huyo baby daddy si ana mke. Kipindi nakua single mom walikuwa wanaolewa mbona walikuwa hawafanyi huo ujinga sijui kwa Babu wa ex wangu blah blah, dah being single mom kungempa alert ya kuwa makini na kuacha kuruhusu mimba nyingine maana ni stress tupu
Umeongea la maana sana. Kwenye jamii zetu tangu zamani single moms wanaolewa vizuri tu tena wengi Lakini hawakuwa na kiherehere kama hawa wasasa

Sijui ndio Uzungu? Ujinga ujinga tu...unaendaje kwa Ex wako ambaye naye ameshaoa mwanamke mwingine?
 
kosa lake hapo ni nini sasa?jaman walishaonganisha undugu kupitia mtoto waliyezaa hivo hata kama wameachana kunapotokea msiba sio vibaya kwenda!au ulitaka wasijuane kabisaa
Kama alishaunganisha undugu basi akienda akamrudie Ex wake hukohuko hata kama alishaoa akawe mke wa pili

Hiki kiherehere kinawaponza sana wanawake
 
Ndio sababu ambayo kama watu wazima mnaweza zungumza na mkaelewana
Ungekuwa Mwanaume usingeandika hivi. Kwanza kabisa Mwanamke anapaswa amsikilize na amtii Mumewe, akisema ''Sitaki Uende'' unapaswa uelewe na ukae nyumbani or wherever

Ulishaachika kwenye hiyo familia, Mumeo amekubali kumfanya mtoto wako kuwa wake na anamlea...kumpeleka tena kule ni Kiherehere na inaonesha bado mna ukaribu na Ex wako au mnaenda kupasha kiporo

Hakuna Mwanaume mwenye akili atakuruhusu ufanye huo ujinga, labda Umroge kwanza.
 
Dada ntakujipu line yako moja baada ya nyingine

Hivi unajua kwanin tunawakataa singl m?
Sio sababu amezaa mtoto!
Hakuna mwanaume kamili hapa duniani anaekimbia majukumu
Ukiona mwanaume anakimbia majukumu huyo ni mwenzenu!!
Mwanaume ni kupambana na yaliyo mbele yake
Hi ndio nature harisi ya mwanaume!

Hivi unadhani sisi tunachokwepa ni wew kuzalishwa? Kama unadhani ndio hivyo basi ushakosea
Sisi tunachokimbia ni kukuowa wewe na kisha kuendeleza na mzazi mwenzio..
Ndio maana popote ukiomba ushaul wa kuowa s mother swali utakaloulizwa na ndugu/jamaa na rafiki ni ...Yupo wapi baba wa mtoto?
Hawaulizi jinsia,idadi,elimu,miaka au chochote kuhusu mtoto au mama
Wanauliza uwepo wa mzazi mwenza!!
Kwanini? Kwasababu yakuhofia ukaribu wao baada ya wew kuowa!

Asilia ya mwanaume ni kutamani!
Wewe ulishazakishwa...akakuacha hi inamaana hakuona thamani yako
Me nmekuchukua nmekuowa nmekutunza kama mke wangu mimi
Yeye anakuja tena unamkubalia hiv hili ni tatizo la mwanaume anaekufata au lakwako?
Watakuja wangapi? Kwanini ukubali wakati tayari unajua wewe n mke wa mtu? Kwanini hakuiona thamani yako wakati ule?
Unadhan baada ya kulala na wew tena atakuowa kama anavyokudanganya?
Hilo ni tatizo lako na sio wanaume.

Single mother akimludia kufanya mapenzi na mzazi mwenzie hilo sio tatizo la mwanaume yoyote kati ya hawa wawili [mention]Mshana Jr [/mention] (unaweza ni rekebisha hapa)
Ni lako na uchafu wako
Na ujinga wako
Na upumbavu wako
Kwasababu hawa wote wawili unawajua vizuri
Mtu akiona thamani yako inamaana amekuheshimu pakubwa
Ameweka imani na wewe
Amekupenda
Kiasi ameamua kupigana na fikra mbovu za jamii (ambazo kimsingi umezitengeneza mwenyewe)ili tu wewe ufurahi
Ila bado unarud huko huko
Hapa mwanaume anakosa gani?
Kelphin umetoa bonge la shule. Inatosha kabisa hii full package
 
kosa lake hapo ni nini sasa?jaman walishaonganisha undugu kupitia mtoto waliyezaa hivo hata kama wameachana kunapotokea msiba sio vibaya kwenda!au ulitaka wasijuane kabisaa
Sasa ndio wakajuane vizuri maana kimeshanuka. Mtu aliyekuzalisha akakubwaga kama mbwa bado unamfata fata una akili kweli?
 
Tujaribu 😅
Singo mama ukiwa unajielewa,unaingiza pesa mwenyewe,humsumbui mtu…mara nyanyaaa Sijui nyenyenyee,ohooo nyunnyunyuuuu basi hizi comments hazitakusmbua medulaoblangata
 
Singo mama ukiwa unajielewa,unaingiza pesa mwenyewe,humsumbui mtu…mara nyanyaaa Sijui nyenyenyee,ohooo nyunnyunyuuuu basi hizi comments hazitakusmbua medulaoblangata
Single mother wengi wanafeli kwa kutegemea mwanaume amlele mtoto wake
 
Back
Top Bottom