Dada ntakujipu line yako moja baada ya nyingine
Hivi unajua kwanin tunawakataa singl m?
Sio sababu amezaa mtoto!
Hakuna mwanaume kamili hapa duniani anaekimbia majukumu
Ukiona mwanaume anakimbia majukumu huyo ni mwenzenu!!
Mwanaume ni kupambana na yaliyo mbele yake
Hi ndio nature harisi ya mwanaume!
Hivi unadhani sisi tunachokwepa ni wew kuzalishwa? Kama unadhani ndio hivyo basi ushakosea
Sisi tunachokimbia ni kukuowa wewe na kisha kuendeleza na mzazi mwenzio..
Ndio maana popote ukiomba ushaul wa kuowa s mother swali utakaloulizwa na ndugu/jamaa na rafiki ni ...Yupo wapi baba wa mtoto?
Hawaulizi jinsia,idadi,elimu,miaka au chochote kuhusu mtoto au mama
Wanauliza uwepo wa mzazi mwenza!!
Kwanini? Kwasababu yakuhofia ukaribu wao baada ya wew kuowa!
Asilia ya mwanaume ni kutamani!
Wewe ulishazakishwa...akakuacha hi inamaana hakuona thamani yako
Me nmekuchukua nmekuowa nmekutunza kama mke wangu mimi
Yeye anakuja tena unamkubalia hiv hili ni tatizo la mwanaume anaekufata au lakwako?
Watakuja wangapi? Kwanini ukubali wakati tayari unajua wewe n mke wa mtu? Kwanini hakuiona thamani yako wakati ule?
Unadhan baada ya kulala na wew tena atakuowa kama anavyokudanganya?
Hilo ni tatizo lako na sio wanaume.
Single mother akimludia kufanya mapenzi na mzazi mwenzie hilo sio tatizo la mwanaume yoyote kati ya hawa wawili [mention]Mshana Jr [/mention] (unaweza ni rekebisha hapa)
Ni lako na uchafu wako
Na ujinga wako
Na upumbavu wako
Kwasababu hawa wote wawili unawajua vizuri
Mtu akiona thamani yako inamaana amekuheshimu pakubwa
Ameweka imani na wewe
Amekupenda
Kiasi ameamua kupigana na fikra mbovu za jamii (ambazo kimsingi umezitengeneza mwenyewe)ili tu wewe ufurahi
Ila bado unarud huko huko
Hapa mwanaume anakosa gani?