Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya😏! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
 
🤔🤔 Dah!! Hakuna kwenda acha mtoto aatakuwakilisha tu
 
Mnavyoambiwaga kuoa single mother ni mtihani ndio hivyo sio kwamba tunawachukia watoto la hasha ,Ila mahusiano huwa hayaishi kamwe. Huyo mtoto ndio kiunganishi chao hivyo kusema atamsahau mazima ,haiwezekani
 
Ndugu hapo sababu yako haina mashiko kumbuka wana mtoto yule ni babu wa mwanae na msiba ni kitu kingine labda ingekuwa harusi hapo sawa na kingine wangekuwa hawana mtoto hapo ningekuunga mkono lakini kwa hilo bado sikubaliani na wewe
 
Unamaanisha ametaka kwenda kumzika babu yake mwanae. Kuna mambo huwezi kubadili ukiamua kuoa mwanamke mwenye mtoto na mzazi mwingine. Haiwezekani asilani, wewe kama ni wale wasio na vifua vya kuhimili mikiki ya mahusiano huyo hakufai.
Naona hawezi kuhimili vitu vya kijamii kama hivi kwa hiyo asonge mbele
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
Huko mjane mwingine kauwawa na boyfriend sasa inakuaje
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…