Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Kipindi unawaza kitu tofauti kumbuka kuwa huyo aliyekufa ni babu wa mwanao wa kufikia halafu kingine hata wakifanya yao ni sawa tu sababu wanatumia miili yao
Kuwa na huruma basi.... Dah unatumia maneno makali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ulimwambia hutaki aende na akienda future yenu kama wanandoa watarajiwa inafikia tamati?
 
Ni will sio Wheel ....
 
Kwa ww mwanamke kwenda bila ruhusa ya mwanaume wako ni kosa. Kama atasema nenda bila kinyongo then haina shida kinyume chake ni kukosa heshima kwa mume wako.

Ila kama mtoto ni mkubwa then hata wazazi wote wawili mnaweza kwenda kumsindikiza msibani kama mtapenda ikiwa si sawa then mnaweza kuacha tu aende mwenyewe.

Kuhusu swala la fedha huwa sielewi hii akili wanawake aliwafundisha nani.

Kuwa na kipato sio kinga dhidi ya manyanyaso katika mahusiano. Manyanyaso ni matokeo ya tabia na sio hali ya uchumi wa mhanga wa manyanyaso au mnyanyasaji.
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duh!

Msiwanyanyapae singo maza jamani. Hawakujizalisha!!!
 
Hadi naamua kwenda lazima nimuage mume au mchumba!
Kuna wanaume wananyanyasa kisa huna pa kwenda!
 
Hiyo sio ishu kubwa ila ni ishara nzuri sana ya kukuonyesha huko mbeleni ukishamuoa utakutana na visanga vya namna gani...
 
Hadi naamua kwenda lazima nimuage mume au mchumba!
Kuna wanaume wananyanyasa kisa huna pa kwenda!
Lakini inategemea na moyo wake na historia yake ya nyuma. Hata wewe kama mwanamke ukisha experience matukio ya uzinifu kwa mtu wako wa awali inakuwa obvious kuwa hautaweza kuhandle mahusiano au ukaribu wa mume wako na wanawake wengine.

Hii hali inatokea katika eneo la hofu ila sio eneo la maamuzi binafsi au kujitakia.

So nadhani kama mwanamke unayejitambua unakuwa kwanza na jukumu la kulinda hisia na amani ya mwanaume wako. Sababu kwetu sisi wanaume upendo kutoka kwenu wanawake unakuja katika sura ya kuheshimiwa na kusikilizwa maamuzi na malekezo tunayotoa. Kinyume chake inakuwa ngumu kuishi na mwanamke. Hii ni kwa wanaume wote waliokamilika kiuumbaaji kwa asili yao.
 
Huwaga hawaachani hao watu kiporo kupashwa ni lazima, kikubwa tuliza akili jipe muda utapata tu mwanamke sahihi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…