Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu.
Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.
Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar.Amefanya interview ktk kituo cha redio cha Clouds FM akihojiwa na Mwijaku kwenye kipindi cha Leo Tena.Vilevile amehojiwa na kituo cha redio cha East Africa akiwa ametoka Posta mpaka Mbezi kwa miguu.
Spider Man wa mchongo atakuwa mtu maarufu sana hapa Bongo kwa ujinga wake.