Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

Hivi vyombo vyetu vya habari vimekalia ujinga ujinga tuu
Kuna watu walihoji wa kuajiri watu kwa kigezo cha umaarufu bila kuzingatia academic background ya presenter/ host wa kipindi itatupeleka wapi miaka kadhaa ijayo?!

Hiki ni kituo cha kwanza tujiandae kuna mengi yanakuja.
 
Kila mtu na namna yake ya kutafuta mkate,mbona joti aliigiza kama mwanamke na hatukuwah kumuita shoga?na dullivan??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na namna yake ya kutafuta mkate,mbona joti aliigiza kama mwanamke na hatukuwah kumuita shoga?na dullivan??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kufanya Moto , Dullvani au yeyote yule hakuhalalishi jambo kuwa zuri wkt halina maadili . Dullvani watu kibao wamewahi kumuita shiga hata hapa Jf threads kibao za kumshtumu na ushoga zimeanzishwa na yeye amewahi kukiri kupata wkt mgumu mtaani na comment mbaya mitandao kutokana na anavyojiweka na uigizaji wake .
 
1. Mzee wa liquid ...amepita
2. Mzee wa 900 ...kapita
3. Mbalangalulu sijui nini yule wa kusini ..kapita

Huyu naye ni suala la muda
tuachie liquid wetu(mlevi mwenzetu mkuu)🙌😂😂
 
Huu uzi hauwezi kukamilika bila kapicha au kideo kikionyesha spiderman wa mwendokasi akikata mauno....
 
Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu.

Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.

Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar.Amefanya interview ktk kituo cha redio cha Clouds FM akihojiwa na Mwijaku kwenye kipindi cha Leo Tena.Vilevile amehojiwa na kituo cha redio cha East Africa akiwa ametoka Posta mpaka Mbezi kwa miguu.

Spider Man wa mchongo atakuwa mtu maarufu sana hapa Bongo kwa ujinga wake.
😂😂 Na watu wa jamhuri ya TikTok wakaenda mbali na kusema /kushauri kwamba huyu spider Man wa mchongo akumbuke kununua boxer na kuvaaa...


Binafsi pia kile kitendo Cha kukatika hovyo sijakipenda. Kuna video moja niliiona ilibaki kidogo abaishiwe 🙈

Aibu naona Mimi kwa kweli Ila anyway sio shida zangu ata
 
How anahamasisha ushoga? How kuhusu dulvan? Joti? Kila mtu na ubunifu wake mm nimempenda kwa ubunifu wake
 
Back
Top Bottom