Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu.

Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.

Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar.Amefanya interview ktk kituo cha redio cha Clouds FM akihojiwa na Mwijaku kwenye kipindi cha Leo Tena.Vilevile amehojiwa na kituo cha redio cha East Africa akiwa ametoka Posta mpaka Mbezi kwa miguu.

Spider Man wa mchongo atakuwa mtu maarufu sana hapa Bongo kwa ujinga wake.
[emoji445]Naheshimu kazi yangu na ndo maana najiamini ohooo[emoji108][emoji444][emoji445] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii nchi uhuru umezidi sana asee daah.
 
Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu.

Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.

Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar.Amefanya interview ktk kituo cha redio cha Clouds FM akihojiwa na Mwijaku kwenye kipindi cha Leo Tena.Vilevile amehojiwa na kituo cha redio cha East Africa akiwa ametoka Posta mpaka Mbezi kwa miguu.

Spider Man wa mchongo atakuwa mtu maarufu sana hapa Bongo kwa ujinga wake.
Haishangazi!! Ndo anatafuta umaarufu hivyo,clouds huwajui kwa ku promote machoko na wasagaji? Ndo kashakuwa star hivyo!! Hata pierre liquid alipata umaarufu kirahisi tu!! Usiumize sana kichwa!! BTW huwa sisisikilizi clouds wala kuangalia!!
 
Video nyingi zimekuja na sasa watu wameshazisahau, zitakuja video mpya na watu watazishabikia sana na mwisho watazisahau.
Nileteeni Mirinda nyeusi [emoji16][emoji16]
1. Mzee wa liquid ...amepita
2. Mzee wa 900 ...kapita
3. Mbalangalulu sijui nini yule wa kusini ..kapita

Huyu naye ni suala la muda
 
Bongo ukifanya mambo ya kukatika katika, kama mdada akivuavua basi atapata interview faster. Sasa uwe na jambo lako la uvumbuzi au solution kwa tatizo au unataka toa elimu hiyo interview utaiskia tu. Hawakupi kamwe.
Ila kama kukatika kunahusiana na ushoga basi waanze na band za mziki maana akina fally wanakata mauno balaa
Hii ina ashiria jamii imeshakaa mkao wa kupokea ushoga
 
Back
Top Bottom