Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Mashoga hawawezi kuisha.Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra.
Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.
Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar akihojiwa na kituo cha redio cha Clouds FM na East Africa Television.
Bongo ukifanya mambo ya kukatika katika, kama mdada akivuavua basi atapata interview faster. Sasa uwe na jambo lako la uvumbuzi au solution kwa tatizo au unataka toa elimu hiyo interview utaiskia tu. Hawakupi kamwe.Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra.
Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga.
Kijana huyu amekuwa maarufu hapa Dar akihojiwa na kituo cha redio cha Clouds FM na East Africa Television.
Mtu akifanya ujinga ujingaduh umaarufu wa bongo mwepesi sana
Mzungu anawapa airtime wewe mtu mweusi huwapi nani atashinda? 😝😝Mashoga hawawezi kuisha.
Walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo
Cha muhimu wasipewe airtime
Kidude kipi?Haha spider wa mchongo.. na kidude chake kidogoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye ako na ka video aweke tuone tena/ marudio…
Haha kilituna pale kati 🙈Kidude kipi?