Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

[emoji445]Naheshimu kazi yangu na ndo maana najiamini ohooo[emoji108][emoji444][emoji445] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii nchi uhuru umezidi sana asee daah.
 
Haishangazi!! Ndo anatafuta umaarufu hivyo,clouds huwajui kwa ku promote machoko na wasagaji? Ndo kashakuwa star hivyo!! Hata pierre liquid alipata umaarufu kirahisi tu!! Usiumize sana kichwa!! BTW huwa sisisikilizi clouds wala kuangalia!!
 
Video nyingi zimekuja na sasa watu wameshazisahau, zitakuja video mpya na watu watazishabikia sana na mwisho watazisahau.
Nileteeni Mirinda nyeusi [emoji16][emoji16]
1. Mzee wa liquid ...amepita
2. Mzee wa 900 ...kapita
3. Mbalangalulu sijui nini yule wa kusini ..kapita

Huyu naye ni suala la muda
 
Mleta mada, amehamasishaje ushoga mbona unamuonea kaka wa watu.
 
Hii inchi ina mambo ya hovyo sana..
 
Hii ina ashiria jamii imeshakaa mkao wa kupokea ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…