Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

Hivi vyombo vyetu vya habari vimekalia ujinga ujinga tuu
Kuna watu walihoji wa kuajiri watu kwa kigezo cha umaarufu bila kuzingatia academic background ya presenter/ host wa kipindi itatupeleka wapi miaka kadhaa ijayo?!

Hiki ni kituo cha kwanza tujiandae kuna mengi yanakuja.
 
Kila mtu na namna yake ya kutafuta mkate,mbona joti aliigiza kama mwanamke na hatukuwah kumuita shoga?na dullivan??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na namna yake ya kutafuta mkate,mbona joti aliigiza kama mwanamke na hatukuwah kumuita shoga?na dullivan??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kufanya Moto , Dullvani au yeyote yule hakuhalalishi jambo kuwa zuri wkt halina maadili . Dullvani watu kibao wamewahi kumuita shiga hata hapa Jf threads kibao za kumshtumu na ushoga zimeanzishwa na yeye amewahi kukiri kupata wkt mgumu mtaani na comment mbaya mitandao kutokana na anavyojiweka na uigizaji wake .
 
1. Mzee wa liquid ...amepita
2. Mzee wa 900 ...kapita
3. Mbalangalulu sijui nini yule wa kusini ..kapita

Huyu naye ni suala la muda
tuachie liquid wetu(mlevi mwenzetu mkuu)πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu uzi hauwezi kukamilika bila kapicha au kideo kikionyesha spiderman wa mwendokasi akikata mauno....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Na watu wa jamhuri ya TikTok wakaenda mbali na kusema /kushauri kwamba huyu spider Man wa mchongo akumbuke kununua boxer na kuvaaa...


Binafsi pia kile kitendo Cha kukatika hovyo sijakipenda. Kuna video moja niliiona ilibaki kidogo abaishiwe πŸ™ˆ

Aibu naona Mimi kwa kweli Ila anyway sio shida zangu ata
 
How anahamasisha ushoga? How kuhusu dulvan? Joti? Kila mtu na ubunifu wake mm nimempenda kwa ubunifu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…