Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.

Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.

Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
 
Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wenzao wanaingiziwa maBILIONI kwenye account zao za benk, wao wanaanzisha nyuzi za mapambio JF! ovyo kabisa hawa
 
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.

Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.

Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Mtu yeyote anayepigana kuita chepe kijiko kikubwa au nyeupe kuita nyeusi, huyo ni fukara wa kupindukia.

Hakuna sababu yoyote inayohalalisha kujitoa ufahamu zaidi ya ufukara.
Hakuna.

Hivyo hawa wote tunaowaona wanafanya bidii katika kutetea uongo, hao ni mafukara yaliyozaliwa kwenye ufukara uliotopea.
Kaya masikini zile za TASAF.
 
Hatari sana
 
tlaaah tlaah analipwa hela nyingi, ukiandika mada yoyote kuhusu samia au ccm au serikali. Reply y kwanza ya kwake hat kama ni saa 8 usiku 😂
 
Ila ukimfuatilia sana ni kama ana frustration za maisha. Nimemfuatilia sana. Ni kama hayupo vizuri kiuchumi. Ukiachana na mabishano yetu , Huwa namuonea huruma sana.
 
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.

Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.

Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Ili walipwe wana-screenshot wanatuma wanalipwa kulingana na idadi ya post
 
Hao nyumbu wala hawalipwi chochote ni vijana wakosa kazi tu wanajipendekeza ili wenye nafasi humu wawatupie chochote kitu
 
Back
Top Bottom