Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

Takataka hao vijana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.

Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.

Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Maboss wao ni tofauti, kuna anayelipwa kutokea lumumba na kuna anayelipwa na idara ya meno
 
Back
Top Bottom