Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Siyo programmed idiot?Huyo jamaa ni programmed robot.
πππSiyo programmed idiot?
Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wenzao wanaingiziwa maBILIONI kwenye account zao za benk, wao wanaanzisha nyuzi za mapambio JF! ovyo kabisa hawaHuyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.
Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.
Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Idioted brain huyoSiyo programmed idiot?
Mtu yeyote anayepigana kuita chepe kijiko kikubwa au nyeupe kuita nyeusi, huyo ni fukara wa kupindukia.Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.
Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.
Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Hatari sanaMtu yeyote anayepigana kuita chepe kijiko kikubwa au nyeupe kuita nyeusi, huyo ni fukara wa kupindukia.
Hakuna sababu yoyote inayohalalisha kujitoa ufahamu zaidi ya ufukara.
Hakuna.
Hivyo hawa wote tunaowaona wanafanya bidii katika kutetea uongo, hao ni mafukara yaliyozaliwa kwenye ufukara uliotopea.
Kaya masikini zile za TASAF.
Ni hatari sana.tlaaah tlaah analipwa hela nyingi, ukiandika mada yoyote kuhusu samia au ccm au serikali. Reply y kwanza ya kwake hat kama ni saa 8 usiku π
Ili walipwe wana-screenshot wanatuma wanalipwa kulingana na idadi ya postHuyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye.
Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye maisha magumu sana na akaja uvccm akiamini atapata mwelekeo mpya wa maisha, kilichotokea haamini macho yake, wakuu wanakula, haambulii hata makombo, anachojua ni harufu ya chakula tu.
Kwasasa Lucas amekata tamaa ndiyomaana kasi yake imepungua, akifikiri jinsi wenzake wanamiliki vi IST nayeye anamiliki yeboyebo na bando la kugongea machozi yanam-bubujika kama yote.
Hao nyumbu wala hawalipwi chochote ni vijana wakosa kazi tu wanajipendekeza ili wenye nafasi humu wawatupie chochote kituIli walipwe wana-screenshot wanatuma wanalipwa kulingana na idadi ya post
Kwamba aitwe mheshimiwa Tlaa talaah?π€£π€£π€£π€£Hao nyumbu wala hawalipwi chochote ni vijana wakosa kazi tu wanajipendekeza ili wenye nafasi humu wawatupie chochote kitu
Hahaha anawaokota vilaza bwasheeKwamba aitwe mheshimiwa Tlaa talaah?π€£π€£π€£π€£