Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
Screenshot_2025-01-20-13-34-39-411_com.twitter.android.jpg
 
Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.

Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
 
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Mwache Mhe Sanga, Mbunge ale vyake, ashabikie chama chake, avae rangi za chama chake.
 
Mkiwa na njaa mnaona wenzenu wanakosea kwa kilakitu 💩 mtu ashindwe kuinjoi chama akipendacho akuhofie wew jobless usiyemudu maisha eti utamuonaje...
Guys maisha ni kuishi na kuinjoi ukipendacho... Kama wew unavyo injoi kukunja ngumi na kuvaa nguo za kaki kama migambo ya jiji, basi acha naye ainjoi kivyake...
WaTz mnakufa mapema kwasababu ya chuki makasiriko wivu na ushirikina
 
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
we ni jinsia gani, km ni me ni bora utolewe hayo makende. we ni nani kumchagulia binadamu mwenzio namna ya kuishi. Ndiyo maana mnakufa maskini
 
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Mhe, Sanga (Mbunge) njoo huku, watu wanakusema kwa kupendeza kwako ndani ya ukumbi wa JK convention center Dodoma. Nadhani huna HISTORIA ya ugomvi wala kelele na Watanganyika. Karibu mwanangu ujitetee.
 
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kama unafanya hivi hata ukiuza madawa ya kulevya hakuna kesi.

Msiwaone watu mkadhani ni wajinga.
 
Back
Top Bottom